ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Duh 🙄!Salaam, Shalom!!
Nchini petu tangu lini imewahi Kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu Kisha kumfunga mtu na kuondoka naye Kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?
Tangu lini kikundi Cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?
Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?
Basi sawa, tusubiri karma!!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏