ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Duh 🙄!Salaam, Shalom!!
Nchini petu tangu lini imewahi Kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu Kisha kumfunga mtu na kuondoka naye Kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?
Tangu lini kikundi Cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?
Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?
Basi sawa, tusubiri karma!!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Si litoke kwani kuna mtu analilazimisha?Body language inaonesha yuko kwenye pressure kubwa asiyoweza kuhimili
Karma is real, Damu ya mtu ni nzito kuliko maji, ikiwa una nduguyo aliwahi kuua ,nenda muulize experience!!Hivi karma kweli inafanyakazi?
Apandacho mtu ndicho akatachovuna.Hivi karma kweli inafanyakazi?
mkiacha ushirikina, ramli chonganishi, kutoana kafara na kuwafanya vijana wenu misukule, mtaona Nuru na mwanga wa milele 🐒Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah uwakili wenu unahitajika huku
Kama ni kweli serikali haihusiki,bas Igp na waziri wasimamishwe mara moja maana wanahusika wao ama kazi imewashinda kuwatambua hao watuSasa hiyo ni pressure ya kujitakia,
Kipi Rahisi, kumfuata KAZI IGP, Waziri Masauni au kuwaacha Ofisini uongozi wake , chama chake, viendelee kuonyeshwa vidole?
Hata Majeshi yana mahakama zao?Unapokula kiapo kama Afisa major wa jeshi utakiwi kusahau kwamba ulikula kiapo na unachunguzwa maisha yako yote.
Akili huwa haipo katika utulivu asilimia zote na hata ujitaidi vipi kupambania utulivu wa ndani unaidhia kuishi maisha ya kupretend.Karma is real, Damu ya mtu ni nzito kuliko maji, ikiwa una nduguyo aliwahi kuua ,nenda muulize experience!!
Ili muone Nuru kutoka kwenye giza totoro mlikofungwa kiroho na kimwili, kwa kuendekeza imani potofu za kushirikiana kutafuta uongozi, kwasababu kwa hoja hamueleweki, ramli chonganishi, kutoana kafara na kuwachukua na kuwafanya vijana wenu misukule Lazima muendelee kuona giza tu..Salaam, Shalom!!
Nchini petu tangu lini imewahi Kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu Kisha kumfunga mtu na kuondoka naye Kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?
Tangu lini kikundi Cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?
Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?
Basi sawa, tusubiri karma!!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Hata Mbowe aliuliza kama tuna makosa si tukamatwe lakini ndiyo hivo kuna vitu havikamatiki na havishitakiki.Hata Majeshi yana mahakama zao?
Lini shauri lake lilisikizwa?
Ukiona ameanza kulisema basi limemgusa.Salaam, Shalom!
Nchini petu tangu lini imewahi kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu kisha kumfunga mtu na kuondoka naye kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?
Tangu lini kikundi cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?
Pia soma: Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya
Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?
Basi sawa, tusubiri karma!!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Hahaha.......tabu iko pale pale bila kuwakamata.....usingizi hamtapata kamweIli muone Nuru kutoka kwenye giza totoro mlikofungwa kiroho na kimwili, kwa kuendekeza imani potofu za kushirikiana kutafuta uongozi, kwasababu kwa hoja hamueleweki, ramli chonganishi, kutoana kafara na kuwachukua na kuwafanya vijana wenu misukule Lazima muendelee kuona giza tu..
Acheni masuala ya uganga, ushirikina na uchawi mara moja, sawa gentleman?🐒
Umesema ukweli kabisa!Salaam, Shalom!
Nchini petu tangu lini imewahi kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu kisha kumfunga mtu na kuondoka naye kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?
Tangu lini kikundi cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?
Pia soma: Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya
Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?
Basi sawa, tusubiri karma!!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Kama hawataki vyama vya upinzani basi walete muswada wa kuvifuta Ili turudi chama kimoja.Hata Mbowe aliuliza kama tuna makosa si tukamatwe lakini ndiyo hivo kuna vitu havikamatiki na havishitakiki.
mkiacha ushirikina, ramli chonganishi, kutoana kafara na kuwafanya vijana wenu misukule, mtaona Nuru na mwanga wa milele 🐒
Keshasema wanaouawa ni sisimiziSalaam, Shalom!
Nchini petu tangu lini imewahi kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu kisha kumfunga mtu na kuondoka naye kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?
Tangu lini kikundi cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?
Pia soma: Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya
Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?
Basi sawa, tusubiri karma!!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Ikiwa Mzee kibao alifanya kosa linalostahili kuuwawa,Nilisikitika sana Mhe. alipolinganisha kuuwawa kwa Kibao na vifo vingine.
Kuchukuliwa hadharani na kwenda kuuliwa!