mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Nikiri tu kuwa namfahamu huyu shahidi vizuri, nimesoma nae shule ya msingi na nikafanya nae kazi sehemu.
Akihojiwa jana kwenye cross examination na wakili Kibatala alidai ana miaka 36, Tulianza darasa la kwanza pamoja mwaka 1989.
Kudai kuwa ana miaka 36 ina maana kazaliwa mwaka 1986/1985 je alianza darasa la kwanza na miaka mitatu?
Kwa darasa letu wengi tulianza na miaka 7 mpaka 9
Kwa ninavyomfahamu alihitimu UDSM 2006 imepita miaka 16. Je, unaweza kuhitimu degree ya sheria ya miaka minne ukiwa na miaka 19/20?
Nadhani alipitiwa, kwa sababu nafahamu msimamo wake kisiasa hayupo upande wa wadhalimu, kwa uchache ana miaka 40