Gladys Fimbari shahidi kesi ya Mbowe amesahau umri wake?

Gladys Fimbari shahidi kesi ya Mbowe amesahau umri wake?

Kabudi wakati anachukuliwa kuwa Waziri alikuwa ameshastaafu pale UDSM ni mwalimu wangu huyo.

Huyo jamaa alidanganya hadi kabila anajifanya mkaguru wa Kilosa wakati ni mgogo tu.

Kilosa no kwa upande wa mama yake, babake alikuwa mchungaji wa Anglican Church mmoja ww waanzilishi wa st. John University Tena walimtakaga sana akawe Makamu mkuu wa chuo wakati linaanza miaka ya 2000 .
Kabudi n,ni kweli ni mgogo yule na ni kweli alikuwa amefikia unri wa kustaafu.
 
Kabudi wakati anachukuliwa kuwa Waziri alikuwa ameshastaafu pale UDSM ni mwalimu wangu huyo.

Huyo jamaa alidanganya hadi kabila anajifanya mkaguru wa Kilosa wakati ni mgogo tu.

Kilosa no kwa upande wa mama yake, babake alikuwa mchungaji wa Anglican Church mmoja ww waanzilishi wa st. John University Tena walimtakaga sana akawe Makamu mkuu wa chuo wakati linaanza miaka ya 2000 .
Nimewahi kumsikia Kabudi kwa masikio yangu alisema yeye ni Mgogo kwa baba yake Sasa lini aliukataa ugogo wakati hata majina yake yanaonyesha yeye ni Mgogo?
Mwaliko ni Wagogo asilia.
Kuhusu kuwa makamu mkuu wa chuo St. John's kwani lazima akubali kila task?
Lakini yeye ni miongoni mwa Alumni Tena mwenyekiti wa St. John's maana anaijua vema historia ya uanzishwaji wa kile chuo na yule mzungu Padre.
 
Nikiri tu kuwa namfahamu huyu shahidi vizuri, nimesoma nae shule ya msingi na nikafanya nae kazi sehemu.

Akihojiwa jana kwenye cross examination na wakili Kibatala alidai ana miaka 36, Tulianza darasa la kwanza pamoja mwaka 1989.

Kudai kuwa ana miaka 36 ina maana kazaliwa mwaka 1986/1985 je alianza darasa la kwanza na miaka mitatu?

Kwa darasa letu wengi tulianza na miaka 7 mpaka 9

Kwa ninavyomfahamu alihitimu UDSM 2006 imepita miaka 16. Je, unaweza kuhitimu degree ya sheria ya miaka minne ukiwa na miaka 19/20?

Nadhani alipitiwa, kwa sababu nafahamu msimamo wake kisiasa hayupo upande wa wadhalimu, kwa uchache ana miaka 40
Unamzungumzia yule "Loya" aliyekiri kizimbani kuwa hajui maana ya "Chain of custody" au kuna mwingine zaidi? Yule yule "Loya" mwenye uzoefu wa miaka 8 pale eyateli?
 
Unamzungumzia yule "Loya" aliyekiri kizimbani kuwa hajui maana ya "Chain of custody" au kuna mwingine zaidi? Yule yule "Loya" mwenye uzoefu wa miaka 8 pale eyateli?
Huyo huyo nadhani leo atameza pain killer
 
Broo muulize Alie mtoa bikira hasipo nitaja mm basi
 
Ahaaa.mimi nilikutana binti mrembo nimempita miaka 15 nilishusha miaka 7 ili ibaki 8 nikihofia angeniona mzee,bahati mbaya penzi likanoga nusura nimuoe ,hivi ningemuoa sijui angenifikiriaje maana siri ingefichuka
Kwa mtu aliyezaliwa kijijini, ni rahisi sana kuujua umri wake ama ule wa ndugu zake, majina yake halisi na mambo mengine kuhusu familia yake. Wanakijiji hasa pale wanapokushobokea, kulewa ama kukupiga mzinga na wewe kuwapooza japo kidogo, wanafunguka ile balaa kama siyo kutapika yale yote wayajuayo kuhusu ishu za watu wanaoishi mijini mlio ambatana nao.
 
Huyo huyo nadhani leo atameza pain killer
Hivi mkuu kweli unakuwa ofisi serious kama Air tell hujui maana ya chain of custody? Na unakiri kizimbani wakati utakuta kuna mibarua kibao unasainisha kwa dispatch. Au hajui ile dispatch ina uzito gani? Ina maana gani? Wakili! Aisee nimeona aibu!
 
Nadhani alijibu vile makusudi kukwepa maswali mengine kama angejibu kuwa anaijua chain of custody
 
Labda ndo cheti chake kinasema hivyo wazazi wengi Wana Tabia ya kurudisha nyuma miaka ya watoto wao kwenye vyeti
 
Nimewahi kumsikia Kabudi kwa masikio yangu alisema yeye ni Mgogo kwa baba yake Sasa lini aliukataa ugogo wakati hata majina yake yanaonyesha yeye ni Mgogo?
Mwaliko ni Wagogo asilia.
Kuhusu kuwa makamu mkuu wa chuo St. John's kwani lazima akubali kila task?
Lakini yeye ni miongoni mwa Alumni Tena mwenyekiti wa St. John's maana anaijua vema historia ya uanzishwaji wa kile chuo na yule mzungu Padre.
Sielewi unataka ligi ya nini anyway anaitwa Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi sio Mwaliko.

Kuhusu mengine sipendi kujibizana nawe
 
Una uhakika kuhusu Kabudi?
Mbona aliandikwa na gazeti kuhusu wahadhiri ambao hawakupeleka vyeti vya form four ndio magufuli akamteua kuwa mbunge wa Jamhuri ndio ikawa pona yake,. Tena Hilo gazeti lilipostiwa humu JF fukunyua vizuri
 
Huyu shahidi mnamshambulia tu.
Yeye katimiza wajibu kisheria ya kampuni lake.ukifuatilia majibu take,dhahiri alikuwa anatimiza wajibu tu,kiroho haungani na mashitaka.
Si kila shahidi wakumshambulia
 
Back
Top Bottom