Nadhani alijibu vile makusudi kukwepa maswali mengine kama angejibu kuwa anaijua chain of custody
Yes. Nadhani hivyo pia. Anaweza kuijua kama dhana kwa nadharia tu lakininsionkwa kuifanyia kazi. Sasa angejibubkuwa anaijua halafu maswali ya kiutendaji yakaja angefeli.
Itoshe kujua tu kuwa sheria ni field pana sana. Na yeye akiwa mwanasheria wa ndani anaweza kuwa hafanyi litigation (yaani kesi za mahakamani) sana hasa za namna hii.
Hilo linamfanya kutojua kwa vitendo dhana (concept) zinazotumika kwny field ya litigation ambayo sio eneo analolifanyia kazi kbs.