Gladys Fimbari shahidi kesi ya Mbowe amesahau umri wake?

Kuna mcheza mpira mmoja aliwahi kusema alizaliwa 1990 wakati mama yake mzazi alifariki 1986.
Niliipata hiyo west afica huko. Samuel Etoo naye hivyohivyo kuna siku mourinho aliquestion umri wake wakati ni kocha wake pale chelsea
 
Gladys mara ya kwanza mwezi november alikataa kuja kutoa ushahidi maana mama yake alimzuia mpaka presha ikapanda,this time wamemshurutisha dada wa watu
 
Gladys mara ya kwanza mwezi november alikataa kuja kutoa ushahidi maana mama yake alimzuia mpaka presha ikapanda,this time wamemshurutisha dada wa watu
Sasa,subiri wavune wanachopanda.Maana Gladys alivyokuwa anajibu utadhani si msomi na ni kama alikuwa absent-minded kizimbani.Kwa namna hiyo,majibu yake yaliongozwa na dhamira kuliko alichofundishwa/alichoelekezwa/alichokaririshwa kushuhudia.Pole sana kwake kama ndivyo ilivyo.
 
Amemaliza UDSM 2003 na kaanza kazi Airtel 2004 maanake alianza kazi akiwa na miaka 18, watanzania wengi wamefoji umri, akina Lukuvi, Kabudi, Mkuchika, Mwigulu n.k hawakosi 80+ lakini wanadanganya 66
Mwigulu sidhani kama umri wa miaka 50 amekwisha ifikia. Ila ni kweli wa TZ wengi wanadanganya katika umri.

Mimi kuna mtu wangu wa karibu sana ambaye nilimsimamia harusi yake, ambaye siku zote nilijua mimi ni kaka yake na alikuwa aliniamkia. Alijishusha umri kwa miaka 8 hivi.

Alipofiwa na baba yake nilimsindikiza kijijini kwao. Duh! Nilipofika huko nilipigwa na butwaa, kumbe mdogo wake wa tatu ndiyo tulikuwa na umri sawa na mimi! Na hata upande wa majina alikuwa amechapia pia, kwa kuwa alikuwa amerudia shule ya msingi mara tatu mpaka alipokuja kufanikiwa kufaulu na kupata elimu yake ya sekondari na hatimaye "advance diploma' ya wakati huo pale Mzumbe.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Mh

 
Ahaaa.mimi nilikutana binti mrembo nimempita miaka 15 nilishusha miaka 7 ili ibaki 8 nikihofia angeniona mzee,bahati mbaya penzi likanoga nusura nimuoe ,hivi ningemuoa sijui angenifikiriaje maana siri ingefichuka
 
Wacha waaibike
 
Una uhakika kuhusu Kabudi?
Kabudi wakati anachukuliwa kuwa Waziri alikuwa ameshastaafu pale UDSM ni mwalimu wangu huyo.

Huyo jamaa alidanganya hadi kabila anajifanya mkaguru wa Kilosa wakati ni mgogo tu.

Kilosa no kwa upande wa mama yake, babake alikuwa mchungaji wa Anglican Church mmoja ww waanzilishi wa st. John University Tena walimtakaga sana akawe Makamu mkuu wa chuo wakati linaanza miaka ya 2000 .
 
Jamani naomba niwambie mwambieni Huyu demu aseme ukweli la sivyo ntasema kweli tangu nimeanza kumdate mpka leo na nn ninemfanyia ikumbukwe mpka kalio.......
 
Atakuwa na miaka 40,41 au 42 kama alianza darasa la 1989 na sio vingine,wengi wetu walibadili miaka wakati wakuingia chuo kikuu
 
Amemaliza UDSM 2003 na kaanza kazi Airtel 2004 maanake alianza kazi akiwa na miaka 18, watanzania wengi wamefoji umri, akina Lukuvi, Kabudi, Mkuchika, Mwigulu n.k hawakosi 80+ lakini wanadanganya 66
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…