Glasgow, Scotland: Rais Samia ahutubia Mkutano wa Umoja wa Mataifa unaojadili athari za mabadiliko ya tabianchi

Glasgow, Scotland: Rais Samia ahutubia Mkutano wa Umoja wa Mataifa unaojadili athari za mabadiliko ya tabianchi

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Mabadiliko ya Tabianchi ni suala la Dunia nzima, hivyo suluhisho lake linapaswa kuwa la Ulimwengu wote

Ameeleza kuwa hatua za pamoja zikichukuliwa na Mataifa, inawezekana kuokoa Ulimwengu. Ametoa wito kwa Mataifa yaliyoendelea kusaidia yale yanayoendelea ili kufanikisha malengo yao

814432DD-750D-49B2-9404-7B4F90D9AD1D.jpeg
95C58807-AB94-4D94-BB99-6A253271DB7D.jpeg
36E721E0-612E-4529-B1F3-5EF086DCFEDD.jpeg
 
Anayedhani kuna nia njema katika "kelele" zinazoendelea kuhusu Climate Change is very misguided.Hii ni "false flag" ambayo ina nia ovu ya kutekeleza nia ovu ya "The Powers to Be," ya kupunguza watu duniani mpaka kufikia 500 million.

Tusisahau kwamba wanasema sisi ndio cancer ya dunia.Kwa hiyo wanaamini kama wakifanikiwa kupunguza wanadamu to 500 million,uharibifu wa mazingira will be over,jambo ambalo si kweli.
 
Anayedhani kuna nia njema katika "kelele" zinazoendelea kuhusu Climate Change is very misguided.Hii ni "false flag" ambayo ina nia ovu ya kutekeleza nia ovu ya "The Powers to Be," ya kupunguza watu duniani mpaka kufikia 500 million.Tusisahau kwamba wanasema sisi ndio cancer ya dunia.Kwa hiyo wanaamini kama wakifanikiwa kupunguza wanadamu to 500 million,uharibifu wa mazingira will be over,jambo ambalo si kweli.
Tunaomba uthibitisho
 
Kina nani wanadhani?
 
H
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Mabadiliko ya Tabianchi ni suala la Dunia nzima, hivyo suluhisho lake linapaswa kuwa la Ulimwengu wote

Ameeleza kuwa hatua za pamoja zikichukuliwa na Mataifa, inawezekana kuokoa Ulimwengu. Ametoa wito kwa Mataifa yaliyoendelea kusaidia yale yanayoendelea ili kufanikisha malengo yao

View attachment 1995630

View attachment 1995622View attachment 1995623View attachment 1995624
Hongera Rais wangu. Chapa kazi Rais wangu na Mungu akutangulie!
 
Hivi kaenda na midege yetu ama Emirates maana anaongea wote tunayoyajua. Hivi nchi imekosa vichwa vya kuandaa speech Hadi dunia ikatetemeka, afrika tuna Chikwera tu. Yaani kama nchi tuko avarage hatuna jipya. Yote hayo angekaa tu kwani kila mtu anayajua
 
Tunaomba uthibitisho
Kwa mtu diagnostic, eager to learn this is common knowledge.Siko tayari kutafunia mtu mzima vitu ambavyo anapaswa kujua.Utanisamehe,I do not have time for that.Kaa na uzuzu wako,amini unachoamini.
 
Ngoja uje Mkutano wa Kimataifa kuhusu utawala Bora na haki za binadamu uone Kama atakanyaga huko!
 
Alishayatabiri huyu before akiwa katibu wa iluminati
 
Back
Top Bottom