Glasgow, Scotland: Rais Samia ahutubia Mkutano wa Umoja wa Mataifa unaojadili athari za mabadiliko ya tabianchi

Glasgow, Scotland: Rais Samia ahutubia Mkutano wa Umoja wa Mataifa unaojadili athari za mabadiliko ya tabianchi

Uzuzu uko wapi hapa au ni upi!? Mimi kumsifia Rais wangu ni uzuzu, ulitaka nimsifie nani - Tobo, mkimbizi wa kisiasa au Gaidi Mwenyekigoda!?
Nimekuita zuzu kwa kuwa mkutano aliokwenda kuhudhuria ni false flag na ulipaswa kulijua hili,sasa badala take unamsifia.
 
Kwa mtu diagnostic, eager to learn this is common knowledge.Siko tayari kutafunia mtu mzima vitu ambavyo anapaswa kujua.Utanisamehe,I do not have time for that.Kaa na uzuzu wako,amini unachoamini.
Mkuu uzuzu unatoka wapi, au kuuliza imekua kosa
 
Mkuu uzuzu unatoka wapi, au kuuliza imekua kosa
No ulivyo uliza mkuu ilikuwa kama command,na si kama mtu ambaye alitaka kujua.Unajua mkuu JF kumejaa watu wa ajabu sana,ndio maana tunakuwa defensive at times.
 
Typical of JF.Nilijua hiyo itakuwa ndiyo reaction yako. Anyway,singeweza kuleta links zote,hiyo ni sample.Hatupo hapa kwa mashindano hata hivyo,amini unaçhotaka kuamini.
Kujenga nchi si lelemama
 
Back
Top Bottom