Tunaomba uthibitishoAnayedhani kuna nia njema katika "kelele" zinazoendelea kuhusu Climate Change is very misguided.Hii ni "false flag" ambayo ina nia ovu ya kutekeleza nia ovu ya "The Powers to Be," ya kupunguza watu duniani mpaka kufikia 500 million.Tusisahau kwamba wanasema sisi ndio cancer ya dunia.Kwa hiyo wanaamini kama wakifanikiwa kupunguza wanadamu to 500 million,uharibifu wa mazingira will be over,jambo ambalo si kweli.
Ila vipi kuhusu content ya anayoongeaHuwa anaongea kama mtu mwenye presha.
Kina nani wanadhani?Anayedhani kuna nia njema katika "kelele" zinazoendelea kuhusu Climate Change is very misguided.Hii ni "false flag" ambayo ina nia ovu ya kutekeleza nia ovu ya "The Powers to Be," ya kupunguza watu duniani mpaka kufikia 500 million.Tusisahau kwamba wanasema sisi ndio cancer ya dunia.Kwa hiyo wanaamini kama wakifanikiwa kupunguza wanadamu to 500 million,uharibifu wa mazingira will be over,jambo ambalo si kweli.
ndivyo alivyoumbwa, tangu akiwa Mbunge na Waziri anaongea hivi hivi.Huwa anaongea kama mtu mwenye presha.
Swali la msingi!Ila vipi kuhusu content ya anayoongea
Hongera Rais wangu. Chapa kazi Rais wangu na Mungu akutangulie!Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Mabadiliko ya Tabianchi ni suala la Dunia nzima, hivyo suluhisho lake linapaswa kuwa la Ulimwengu wote
Ameeleza kuwa hatua za pamoja zikichukuliwa na Mataifa, inawezekana kuokoa Ulimwengu. Ametoa wito kwa Mataifa yaliyoendelea kusaidia yale yanayoendelea ili kufanikisha malengo yao
View attachment 1995630
View attachment 1995622View attachment 1995623View attachment 1995624
Kwa mtu diagnostic, eager to learn this is common knowledge.Siko tayari kutafunia mtu mzima vitu ambavyo anapaswa kujua.Utanisamehe,I do not have time for that.Kaa na uzuzu wako,amini unachoamini.Tunaomba uthibitisho
Labda hata wewe!Kina nani wanadhani?
Yaani anachapa kazi kwa kwenda kwenye "false flags."WaTz mazuzu kweli kweli.H
Hongera Rais wangu. Chapa kazi Rais wangu na Mungu akutangulie!
Uzuzu uko wapi hapa au ni upi!? Mimi kumsifia Rais wangu ni uzuzu, ulitaka nimsifie nani - Tobo, mkimbizi wa kisiasa au Gaidi Mwenyekigoda!?Yaani anachapa kazi kwa kwenda kwenye "false flags."WaTz mazuzu kweli kweli.
I usually DON'T WATCH SH****!Alishayatabiri huyu before akiwa katibu wa iluminati
Labda?Labda hata wewe!