Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisikia fake smile ndiyo hili.Kamati ya roho mbaya, kuliombeya mabaya taifa letu....
![]()
Yaani mwenyeji hana BENDERA, tumeshtuka mlitaka kutuingiza chaka😎😎😎
Poleni sana watu mnaoichukia nchi yenuKweli kwa Nini mwenyeji Hana BENDERA ? Dah hapa tunapigwa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hahaha, karibu Mkuu....Yaani mwenyeji hana BENDERA, tumeshtuka mlitaka kutuingiza chaka😎😎😎
Sio habari yenye uzito kivile I la ni kutaka kusifia tumewaona wa G20 walivyongara na majukumu makuu na kukutana na Pope.Mama anaendelea kuwa galagaza tu
Roho mbaya, hivi kwa nini mnaichukia nchi yenu namna hii?Sio habari yenye uzito kivile I la ni kutaka kusifia tumewaona wa G20 walivyongara na majukumu makuu na kukutana na Pope.
Hapa kaficha barakoa inakuwaje.??!
Wajuvi mje.
Kumbe mnalalamika wala hamjui mnalalamikia nini,rais Samia kaenda kwenye COP26 SUMMIT na kuna ma rais wengine zaid ya mia moja , hajaenda kumtembelea boris,boris makazi yake (downing street) ni England na Summit ipo Scotland.Ingawa ni waziri mkuu wa uk yote lakin hawezi kumpokea mgeni rasmi huko kwani Scotland ina kiongozi wake(First minister of scotland) ambae ni kiongozi wa serikali ya Scotland.Mbona wakija kwetu tuna wapokea ikulu lakini Tukienda kwao tuna puuzwa Sanaa Yan hawatak tuonane nao Raisi yoyote akienda ziara kwenye nchi nyingine lazima mwenyeji wake ata kuwa Rais wa nchi aliyo itembelea kwasababu ni levo moja.
😍💪Kesho tunahutubia dunia, mnakaribishwa kusikiliza na kukosoa, kama kawaida yenu....Wakuu wa dunia walivua Mask kumpisha Mama
![]()
Watayajuaje nao wako "vichanjani" mwa wanasiasa koko🤣Kumbe mnalalamika wala hamjui mnalalamikia nini,rais Samia kaenda kwenye COP26 SUMMIT na kuna ma rais wengine zaid ya mia moja , hajaenda kumtembelea boris,boris makazi yake (downing street) ni England na Summit ipo Scotland.Ingawa ni waziri mkuu wa uk yote lakin hawezi kumpokea mgeni rasmi huko kwani Scotland ina kiongozi wake(First minister of scotland) ambae ni kiongozi wa serikali ya Scotland.
🤣😍Roho mbaya haijengi...
View attachment 1995172