Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

Kamati ya roho mbaya, kuliombeya mabaya taifa letu....
FDGIrvcWQAICnnd
Ukisikia fake smile ndiyo hili.
 
Kesho tunahutubia dunia, mnakaribishwa kusikiliza na kukosoa, kama kawaida yenu....Wakuu wa dunia walivua Mask kumpisha Mama
FDH5_V0XMAArGi_
 
Sio habari yenye uzito kivile I la ni kutaka kusifia tumewaona wa G20 walivyongara na majukumu makuu na kukutana na Pope.
Hapa kaficha barakoa inakuwaje.??!
Wajuvi mje.
Roho mbaya, hivi kwa nini mnaichukia nchi yenu namna hii?
FDH7xj-XoAk0n72
 
Mbona wakija kwetu tuna wapokea ikulu lakini Tukienda kwao tuna puuzwa Sanaa Yan hawatak tuonane nao Raisi yoyote akienda ziara kwenye nchi nyingine lazima mwenyeji wake ata kuwa Rais wa nchi aliyo itembelea kwasababu ni levo moja.
Kumbe mnalalamika wala hamjui mnalalamikia nini,rais Samia kaenda kwenye COP26 SUMMIT na kuna ma rais wengine zaid ya mia moja , hajaenda kumtembelea boris,boris makazi yake (downing street) ni England na Summit ipo Scotland.Ingawa ni waziri mkuu wa uk yote lakin hawezi kumpokea mgeni rasmi huko kwani Scotland ina kiongozi wake(First minister of scotland) ambae ni kiongozi wa serikali ya Scotland.
 
Watayajuaje nao wako "vichanjani" mwa wanasiasa koko🤣
2969622_images_9.jpeg
 
Back
Top Bottom