Goba, Dar: Wanne wafariki dunia, 17 wajeruhiwa baada ya jengo kuangukia nyumba za jirani

Iyo unakuta mwenye nyumba ndo anajifanya yeye ndo injinia Ila kwa fundi mwenye akili timamu kabisa hata Kama ni local ,hawezi bebesha mzigo wa mitofali ktk Ile nguzo ya vile, Ile ramani Ni nzuri Ila Kama juu ingekua uzito mdogo let say vioo tupu, na nguzo iwe na nondo zinazopaswa
 
Usisahau kuongeza TBA na vyuo kama DIT na UDSM.
 
Hujamuona mama hapo anapiga ukunga😅?
 
Msingi ume overturn
Hujaona vaccum iliopo baina ya floor na msingi! Yani ni kama hapakushindiliwa vizuri watu walijaza kifusi tu bila kukishindilia😅...”Ghorofa la Mchongo”
 
Kama alitaka kuweka tofali basi angeweka zile nyepesi zenye tobo katikati, Ila kwa nguzo Ile hapana aisee, mara Mia juu ingekua vioo tupu.
 
Aise, hii kazi ya ujenzi ni heri wapewe mafarao. Mafundi wetu wengiwao njaa zinawasumbua
 
Mkandarasi hana shida sana maana yeye anafwata mchoro na maelekezo ya mhandisi!

MWENYE TATIZO NI INJINIA ALIYE DESIGN MRADI NA ALIYEKUWEPO SITE KUSIMAMIA UJENZI.

Hao wawili hao kazi wanayo!
 
Kila siku napita hili eneo. Juzi tu nimetoka kusema hili ghorofa, mm siliamin kabisaa.

Iko hivi.
Hilo jengo lillianza kuinuliwa kuwa ghorofa wiki 2 zilizopita. Awali mchoro ulikuwa ni fremu za kawaida kama fremu nyingine barabarani. Sasa wiki 4
Jamaa kafosi liwe ghorofa baada ya kuona wenzie wote wanajenga vighorofa vya floor moja moja😅
 
Aise, hii kazi ya ujenzi ni heri wapewe mafarao. Mafundi wetu wengiwao njaa zinawasumbua
Hahahahah tatizo unakuta boss kigwasi hela anabania lazma wampige kwenye material😅!

Halafu haya mambo ya kujenga ghorofa na watu wa kawaida ni shida tu bora uipe kampuni hata 180M ila wakutengenezee kitu cha kueleweka. Ujenzi wa kuunga unga mmbaya sana huu.
 
“Mpaka sasa Jeshi la Zimamoto na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vipo katika eneo hili kuendelea na hatua za kuhakikisha kama waliojeruhiwa ni hao tu ama kuna ziada,
Walishindwa kuzima moto KK, wataweza kufukua vifusi kweli!
 
Nani alaumiwe?
1. Engineer aliye design mradi.

2. Engineer aliye idhinisha mradi kwa kuweka muhuri.

3. Engineer aliye kuwepo site kusimamia.

Hao kazi wanayo.

Ila kama hakutumia injinia akidhani anakwepa gharama basi mzigo wote unaangukia kwa mwenye nyumba pamoja na mafundi wake.
 

Hahhhaaaa. Hata kampuni mzee bila ucmamizi watakuibia tu. Hapa solution wajenzi kutoka nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…