maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Kama huwa unapita pita hii road ya Mbezi - Goba hadi Massana utakubaliana namimi kasi ya ujenzi wa maeneo ya biashara katika standard nzuri ni kubwa sana, na tayari pande hizi zinawatu wengi sana kila siku biashara zinafunguliwa na maeneo tofauti ya bata tangu mwaka huu uanze. Miaka miwili tu hizi pande zitakua ndio habari ya jiji.
Kama unabisha bisha tu huu uzi utakuja kukusuta.
Kama unabisha bisha tu huu uzi utakuja kukusuta.