Goba - Mbezi kuwa zaidi ya Sinza, Tabata

Unafananisha goba na tabata na sinza.. are you serious?😂😂😂😂. Eti biashara yaani unathubutu kusema goba itapata mpangilio wa biashara wa tabata na sinza jamani.😂😂😂be serious. FUTA THREAD.
Unatakiwa useme tu Goba inajengwa sana sasa. Ila usifananishe mkaa na penseli.
Nyie ndio huwa mnakariri aisee na hamtaki kutembea. Uliza wenzako wanaotembea watakwambia na sababu kwanini Sinza itaachwa nyuma na hata saizi imeanza kupoa sana kibiashara. Mbezi - Goba inamaeneo mengi ya kando ya barabara watu walinunua wakayareserve na sasa yanajengwa kwa standard nzuri ya kibiashara. Kwa mwaka mmoja tu huu imekua kwa kasi sana sasa kama wewe unabisha bisha tu utajikana baadae
 
Mbezi - Goba
Goba njia nne -Madale Ni moto wa kuotea mbali. Kasi ya ukuaji ni kubwa sana
 
Nyie ndio huwa mnakariri aisee na hamtaki kutembea. Uliza wenzako wanaotembea watakwambia na sababu kwanini Sinza itaachwa nyuma na hata saizi imeanza kupoa sana kibiashara. Mbezi - Goba inamaeneo mengi ya kando ya barabara watu walinunua wakayareserve na sasa yanajengwa kwa standard nzuri ya kibiashara. Kwa mwaka mmoja tu huu imekua kwa kasi sana sasa kama wewe unabisha bisha tu utajikana baadae
Picha iko wapi ili tumalize ubishi mkuu? Mda mungine prove ya picha au video ni muhimu ktk kukazia jambo, ila ukiweka maneno matupu watu ambao waliifahamu miaka hiyo ikiwa pori hawawezi kukuelewa abadani.
 
Kama huwa unapita pita hii road ya Mbezi - Goba hadi Massana utakubaliana namimi kasi ya ujenzi wa maeneo ya biashara katika standard nzuri ni kubwa sana, na tayari pande hizi zinawatu wengi sana kila siku biashara zinafunguliwa na maeneo tofauti ya bata tangu mwaka huu uanze. Miaka miwili tu hizi pande zitakua ndio habari ya jiji.

Kama unabisha bisha tu huu uzi utakuja kukusuta.
Mambo ya kusutana tena?
 
Nyie ndio huwa mnakariri aisee na hamtaki kutembea. Uliza wenzako wanaotembea watakwambia na sababu kwanini Sinza itaachwa nyuma na hata saizi imeanza kupoa sana kibiashara. Mbezi - Goba inamaeneo mengi ya kando ya barabara watu walinunua wakayareserve na sasa yanajengwa kwa standard nzuri ya kibiashara. Kwa mwaka mmoja tu huu imekua kwa kasi sana sasa kama wewe unabisha bisha tu utajikana baadae
Mkuu unaweza ukawa unabisha na watu ambao hiyo Goba mara ya mwisho kuiona ni 2010
 
Unafananisha goba na tabata na sinza.. are you serious?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Eti biashara yaani unathubutu kusema goba itapata mpangilio wa biashara wa tabata na sinza jamani.[emoji23][emoji23][emoji23]be serious. FUTA THREAD.
Unatakiwa useme tu Goba inajengwa sana sasa. Ila usifananishe mkaa na penseli.
Tabata is overrated
 
Back
Top Bottom