dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
aiseeGoba imejaa wapigaji wote wanajificha kule na madalali wa magari yani kwa kifupi misheni town wote wamekimbilia huko..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aiseeGoba imejaa wapigaji wote wanajificha kule na madalali wa magari yani kwa kifupi misheni town wote wamekimbilia huko..
HahahaMavi ya kuku uwezo wa kujenga kimpangilio hatuna,Goba ni sawa na manzese tu
Elewa mada mkuu,mada sio mpangilio wa mji. Ningetaka kuongelea mpangilio wa mji zipo sehem kama Mbweni ningeongelea tena bila kutaja hiyo ulotaja wewe ambayo ilipangiliwa na mkoloniNyumba zina jengwa bila kukaa kwa mpangilio
Inabidi mleta uzi aone wenzao wa huku mikocheni
Ova
View attachment 1980837
View attachment 1980839
Kama Sinza ilivyokua... Na madalali ni watu wa bata sana ndio maana nikasema kwenye viwanja vya bata sinza na Tabata pataachwa nyumaGoba imejaa wapigaji wote wanajificha kule na madalali wa magari yani kwa kifupi misheni town wote wamekimbilia huko..
Mkuu goba naijua tokea miaka ya 90 hukoElewa mada mkuu,mada sio mpangilio wa mji. Ningetaka kuongelea mpangilio wa mji zipo sehem kama Mbweni ningeongelea tena bila kutaja hiyo ulotaja wewe ambayo ilipangiliwa na mkoloni
Kwenye mpangilio wa mji hapo umenipiga KO... Ila hii road ya Mbezi-goba-masana ndio nilikua naiongelea kibiashara.Mkuu goba naijua tokea miaka ya 90 huko
Wkt huko ni pori
Sikatai watu wanajenga lkn point kubwa
Ujenzi watu wanajenga kwa mpangilio
Je mitaa inaingia na kutoka
Kama mkoloni alitupangilia kwann na ss tusijipangilie
Ova
hata kipande cha goba kwenda tegeta kupitia madale kimejengeka vema sana kimakazi na biasharaKama huwa unapita pita hii road ya Mbezi - Goba hadi Massana utakubaliana namimi kasi ya ujenzi wa maeneo ya biashara katika standard nzuri ni kubwa sana, na tayari pande hizi zinawatu wengi sana kila siku biashara zinafunguliwa na maeneo tofauti ya bata tangu mwaka huu uanze. Miaka miwili tu hizi pande zitakua ndio habari ya jiji.
Kama unabisha bisha tu huu uzi utakuja kukusuta.
Zinazokuingia ukiwa 'unamtengea' hilo 'Nyabenga' lako Yule 'Basha' wako.Zee la pumba
Haina noma ila goba pazuri pana hali ya hewa nzuriKwenye mpangilio wa mji hapo umenipiga KO... Ila hii road ya Mbezi-goba-masana ndio nilikua naiongelea kibiashara.
Kamanda watu humu bila ya kukuzingua hawana raha😂😂😂Zinazokuingia ukiwa 'unamtengea' hilo 'Nyabenga' lako Yule 'Basha' wako.
Sinza haina tofauti na Magomeni, ishapitwa na wakati, Goba ni habari nyingine, inapendeza sana kutokana na vilima kuna sehemu karibu na Mbezi Juu kuna mandhari nzuri sana unaliona jiji na lote na city centre na bahari kwa pamoja,pia barabara kuu za kuingia na kutoka Goba zinapendeza sanaKama huwa unapita pita hii road ya Mbezi - Goba hadi Massana utakubaliana namimi kasi ya ujenzi wa maeneo ya biashara katika standard nzuri ni kubwa sana, na tayari pande hizi zinawatu wengi sana kila siku biashara zinafunguliwa na maeneo tofauti ya bata tangu mwaka huu uanze. Miaka miwili tu hizi pande zitakua ndio habari ya jiji.
Kama unabisha bisha tu huu uzi utakuja kukusuta.
Kuna eneo nasikia wametengewa na ruti mpya za magari ya abiria zitaanzishwa za kuanzia na kuishia hapo.Vipi kuhusu Machinga huko, wanaondolewa au
Tujuzeni sisi tuliotimuliwa huku mjini kama fursa zipo huko tuje
Sehemu ya hovyo sana, haina mpangilio wa mitaa.
Patavuma patakufa,pataibuka pengine tena.Kama huwa unapita pita hii road ya Mbezi - Goba hadi Massana utakubaliana namimi kasi ya ujenzi wa maeneo ya biashara katika standard nzuri ni kubwa sana, na tayari pande hizi zinawatu wengi sana kila siku biashara zinafunguliwa na maeneo tofauti ya bata tangu mwaka huu uanze. Miaka miwili tu hizi pande zitakua ndio habari ya jiji.
Kama unabisha bisha tu huu uzi utakuja kukusuta.
Kuna eneo nasikia wametengewa na ruti mpya za magari ya abiria zitaanzishwa za kuanzia na kuishia hapo.
Nimesikia eneo linaitwa Saisai. Kwa habari nyepesi pia kuna ujenzi wa barabara kiwango cha lami kuunganisha Goba-Matosa-Kimara na Goba-Matosa-Temboni (Mbezi).
Kwenda Mbezi Luis, Mbezi Beach, na Kwenda Madale na Tegeta tayari kiwango cha lami.
Patavuma patakufa,pataibuka pengine tena.
Wengi wetu mitaa kama haina vinyozi na groceries au baa hiyo siyo mitaa ya kuishi.Nyumba zina jengwa bila kukaa kwa mpangilio
Inabidi mleta uzi aone wenzao wa huku mikocheni
Ova
View attachment 1980837
View attachment 1980839
Sinza na Tabata pia wapo wateja wengi mno wa malaya tajwa!!sinza na tabata kuna malaya wengi mno