Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafurahia Nini eneo Nyumba hazijapangwa.Sinza haina tofauti na Magomeni, ishapitwa na wakati, Goba ni habari nyingine, inapendeza sana kutokana na vilima kuna sehemu karibu na Mbezi Juu kuna mandhari nzuri sana unaliona jiji na lote na city centre na bahari kwa pamoja,pia barabara kuu za kuingia na kutoka Goba zinapendeza sana
Nasikia hapo hapo kuna eneo ambalo kuna kesi. Kulikuwa eneo la soko sema wajanja wakafanya yao.Saisai ilipokuwa bar???
acha kutumia lugha kali mkuu.. warembo waleee wanaokoa midomo mizitosinza na tabata kuna malaya wengi mno
Basi watahamia Goba wawafate mliposinza na tabata kuna malaya wengi mno
haha sikai goba mimiBasi watahamia Goba wawafate mlipo
Nasikia hapo hapo kuna eneo ambalo kuna kesi. Kulikuwa eneo la soko sema wajanja wakafanya yao.
Ramani ya soko ipo kabisa.
Bongo high density ndio kila kituMoja ya suluhu ya watu kuacha kujenga kiholela ni kuacha kukata viwanja vya high density baadala yake viwanja vyote katika nchi viwe Low density...Kuanzishwe vyeo vya mabwana ardhi wa kata ambao wanaripoti ardhi wilayani na kazi yao kuhakikisha ujenzi unafuata taratibu na ramani za mipango miji zinafuatwa..
Ushauri Mzuri sana huu.Moja ya suluhu ya watu kuacha kujenga kiholela ni kuacha kukata viwanja vya high density baadala yake viwanja vyote katika nchi viwe Low density...Kuanzishwe vyeo vya mabwana ardhi wa kata ambao wanaripoti ardhi wilayani na kazi yao kuhakikisha ujenzi unafuata taratibu na ramani za mipango miji zinafuatwa..
Tandale mpya itazaliwa Goba. Hakuna shaka juu ya hiloNyumba sawa nzuri mnajenga
Je mnajenga kwa mpangilio,nyumba zipo kimtaa
Au
Ova
Tandale sahv naona mkeka,taa sehemu nyingiTandale mpya itazaliwa Goba. Hakuna shaka juu ya hilo
Tandale mpya itazaliwa Goba. Hakuna shaka juu ya hilo
Kuna sehemu huwezi kwenda na gari. Hakuna njia. labda utumie helicopter kama CDMTandale sahv naona mkeka,taa sehemu nyingi
Ova
Kimara ina nini kipya? Mbona haina mvuto kabisa? Goba maeneo yake yapo vizuri. Ila hakuja pangiliwa kabisa. Na ipo siku itasababisha unadhifu wake uwe kwenye mgogoroSiyo rahisi sana.Kama Kimara na Mbezi siyo sawa na Tandale then Goba itakuwa vizuri
Bei ya kiwanja Goba Inaonesha ni ya watu fulani.Ila kuna wazawa piaKuna sehemu huwezi kwenda na gari. Hakuna njia. labda utumie helicopter kama CDM
Kimara ina nini kipya? Mbona haina mvuto kabisa? Goba maeneo yake yapo vizuri. Ila hakuja pangiliwa kabisa. Na ipo siku itasababisha unadhifu wake uwe kwenye mgogoro
What are you talking about? Vile vingi sio viwanja...ni mashamba. Mbweni na Bunju kumepimwa properly lakini sio Goba. Salasala pia kuna eneo limepimwa na kweli kuko njema kweli kweliBei ya kiwanja Goba Inaonesha ni ya watu fulani.Ila kuna wazawa pia
Kimara haina mvutoKimara na Goba ni tofauti sana.Hata bei ya viwanja inaonyesha hilo