Tabata nayo haielewekiTabata itabaki juu
Kumeendelea hivyo haraka kwakuwa Wakazi wengi wa huko ( wanaohamia ) siyo Wachawi / Washirikina kama wa maeneo mengine.Kama huwa unapita pita hii road ya Mbezi - Goba hadi Massana utakubaliana namimi kasi ya ujenzi wa maeneo ya biashara katika standard nzuri ni kubwa sana, na tayari pande hizi zinawatu wengi sana kila siku biashara zinafunguliwa na maeneo tofauti ya bata tangu mwaka huu uanze. Miaka miwili tu hizi pande zitakua ndio habari ya jiji.
Kama unabisha bisha tu huu uzi utakuja kukusuta.
Dar inazidi kunoga kumbe ee? Sina uwezo wa kupata nafasi hapo mjini kabisa lkn ngoja nijikongoje angalau vikindu niweke kitu kwa ajili ya watoto wangu hapo baadae.....nao wainjoi mandhari ya jiji hapo baadae.
Kumbe ee? Sawa kiongozi ngoja niliangalie hiloWawekee along Morogoro road bana.
Hivi hii Tabata inayosemwa ni nzuri ni Tabata ipi hasa?Unafananisha goba na tabata na sinza.. are you serious?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Eti biashara yaani unathubutu kusema goba itapata mpangilio wa biashara wa tabata na sinza jamani.[emoji23][emoji23][emoji23]be serious. FUTA THREAD.
Unatakiwa useme tu Goba inajengwa sana sasa. Ila usifananishe mkaa na penseli.
Tabata wapo mitaa gani!?sinza na tabata kuna malaya wengi mno
[emoji1][emoji1][emoji1]Hivi hii Tabata inayosemwa ni nzuri ni Tabata ipi hasa?
Ni Tabata ipi hiyo unayoisifia wewe hii tunayo ijua au ipo nyingine NewYork?Unafananisha goba na tabata na sinza.. are you serious?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Eti biashara yaani unathubutu kusema goba itapata mpangilio wa biashara wa tabata na sinza jamani.[emoji23][emoji23][emoji23]be serious. FUTA THREAD.
Unatakiwa useme tu Goba inajengwa sana sasa. Ila usifananishe mkaa na penseli.
wamesambaa tabata yote kama mchwa kuwapata hasa ingia Tinder au TaggedTabata wapo mitaa gani!?