God existed before time and He created time

Hizo ni hadithi kama tamthilia ya kudadika

Ndio utakuja kuona mungu wapo wengi na kila mtu anamuelezea anavyoona mazingira yake

Lakini kusema allah au yehova ndio mungu na wengine sio mungu hilo jambo halipo
Ndiyo nimeuliza ni kipi kinafanya hiyo hadithi ya kale iendelee kusimuliwa hadi zama hizi? Maana hiyo hadithi imetapakaa dunia nzima na wenye kuiamini hiyo hadithi ni wengi kuliko wanayopinga hiyo hadithi.

Unafikiri kwanini hiyo hadithi bado inaendelea kutamba tu na haijabaki kuwa hadithi tu ya kale ambayo haina mvuto zama hizi?
 
uchawi nao ni vigumu kuthibitisha labda siku nishuhudie mchawi anapaa na ungo nitaamini
albadir nayo ni utapeli tu,waislam walishindwa kumdhuru mrema na walikuwa wanamsomea albadir kila ijumaa pale mwembechai
casting out damons ni wizi wa hao n
wanaojiita mapastor,maigizo tu yale trust me
 
Kwakuwa wenye hizo hadithi wanazituka bado
 
nipe hadith ambazo wewe unaona ni sahihi tuzitumie kama rejea hapa
najua na wewe unajua kuwa hadith za sahih bukhari ndio zinatumiwa na waislamu wote duniani
Hadith ziko katika namna tofauti tofauti wewe unataka zinazohusu nini?
 
Sasa hapo kipi nacho ukielewi
Adam aliumbwa kwa udongo ,waliofatia waliumbwa kutokana na maniii , huko ndani ya tumbo uumbaji unapofanya ndipo pande la damu linapatikana hili mbona lipo wazi, kuhusu MUISLAM wa kwanza unajua maana ya UMA ?
 
hakuna stage yoyote mtoto ndani ya tumbo la uzazi anakuwa pande la damu
nani muislamu wa kwanza?
 
Jamaa mbona mgumu kuelewa mbona nilishakujibu hadithi kwanini zinakubalika na kwanini hazikubaliki? bila kujali nani kazikusanya hizo hadithi
Hahaha..huyo mwenye anajiita msomi ana elimu ya Qur'an na Biblia.
 
Aliyemuumba Mungu hajulikani, basi hakuna mwanzo ni Mungu ! Imekaaje? Au mwanzo wa mwanzo imekaaje ? Kila mtu atapita na anaishia kusikojulijana bila jibu ! It doesn"t make sense at all by saying God existed before the time and space ! Where did He stay ? And when ?
 
Jamaa mbona mgumu kuelewa mbona nilishakujibu hadithi kwanini zinakubalika na kwanini hazikubaliki? bila kujali nani kazikusanya hizo hadithi
unakubali hadith zilizokusanywa na bukhari lakini una-cherry pick zinazokupendeza
najua lazima upaogope hapa
tufunge mjadala
 
Hizo ni hadithi kama tamthilia ya kudadika

Ndio utakuja kuona mungu wapo wengi na kila mtu anamuelezea anavyoona mazingira yake

Lakini kusema allah au yehova ndio mungu na wengine sio mungu hilo jambo halipo

Kama hilo halipo lipo lipi ?
 
unakubali hadith zilizokusanywa na bukhari lakini una-cherry pick zinazokupendeza
najua lazima upaogope hapa
tufunge mjadala

Mimi nazikubali,japokuwa ziko sahihi nyingi na dhaifu chache mno.

Na sahihi al Bukhari ndio kitabu sahihi zaidi baada ya Qur'an kwetu sisi waislamu.

Nakusikiliza ....
 
The creator of universe has no location. Kwa sababu yeye sio matter, Lakia pia God is the creator of "place" and it's impossible that the creator should be dependent on what He has created.
Since we have seen that God has no place, it's clear that he has no body either, because a body needs a place and there can be no body which has no place.God created time so alikuwepo that time. Haiwezekani aumbe muda alafu muda uwepo kabla yake.God has no source yeye ni mwanzo na mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…