Tetesi: God Forbid ! Sam Misago.anaweza kujiua!!!

Kama Konk Master amempitia basi na yeye punga pia, ikiwa hao wengine umeamini kwanini huyo usiamini?.
Huyo kwisa kama anajihusisha na hizo tabia basi yeye ndie huwapitia wenzie.jamaa hafanani kabisa
Wenzie si unawaona tu mkuu
Afu hivi ni kweli dudu baya alikua anawapitia wenzie ?
 
Honestly Sam hakuonewa...ni mchele mchele..oil chafu!
Mkuu,tatizo hapa sio kuonewa au kutokuonewa kama umemsoma vyema LIKUD

Tatizo ni njia iliyotumika kuwaweka wazi,ni mbaya sana kisaikolojia.

Hakuna tuhuma mbaya kwa mwanaume kama tuhuma ya ushoga. Kama unavyojua jamii yetu,hapo watu wote tayari wameshafunga mjadala kwamba waliotajwa wote ni mashoga na huwezi kuwaambia kitu kingine wakaelewa.

Kama alivyosema mtoa mada,hawa watu wanaweza kujidhuru. Kama ulifuatilia hicho kipindi utagundua hadi wageni waliofika pale walikuwa wanaibiaibia kumtazama muda ambao yeye alikuwa hawatazami.



 
Habareee ya mujini ni kuhusu mchele mpya toka Kyela......vijana wa kiume teke teke laiiiiiniiii........uchumi wa kati tutafika kweli?
😁😁😁
 
Hii nchi kuna watu wanajua kucheza na akili za wanancho, Hii issue ya mashoga ndani ya miezi miwili au mitatu ijayo huta isikia tena na nina hakika kipindi hicho kutakuwa na issue nyingine ambayo itakuwa iko hot.
 
He should have died hereafter; There would have been a time for such a word
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…