Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,546
Hata kama ni shoga..approach aliyotumia Dudubaya sio nzuri hata kidogo.
Huko ni kudhalilishana.
Huko ni kudhalilishana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Konk Master amempitia basi na yeye punga pia, ikiwa hao wengine umeamini kwanini huyo usiamini?.Mimi naamini kabisa kuna wachache wameonewa katika hili
Eti kwisa nae dah
kwani wew upo wap si ukampe nguvu huko
Huyo kwisa kama anajihusisha na hizo tabia basi yeye ndie huwapitia wenzie.jamaa hafanani kabisaKama Konk Master amempitia basi na yeye punga pia, ikiwa hao wengine umeamini kwanini huyo usiamini?.
Honestly Sam hakuonewa...ni mchele mchele..oil chafu!
Huyo kwisa kama anajihusisha na hizo tabia basi yeye ndie huwapitia wenzie.jamaa hafanani kabisa
Wenzie si unawaona tu mkuu
Afu hivi ni kweli dudu baya alikua anawapitia wenzie ?
He should have died hereafter; There would have been a time for such a wordWatu wenye hekima na busara wanasema macho ni pazia ya nafsi. Unaweza kusoma yaliyomo ndani ya nafsi ya MTU kwa kutazama macho Yake.
Juzi.nimetazama FNL show and honestyly speaking Sam Misago anaonekana.hayupo sawa kabisa.
Hata hiyo show yenyewe alikuwa anaonekana anaifanya kwa kukibaraguza ( kulazimisha furaha )
He seems to posses a very troubled mind just like the Nazarenus when he was informed about the death.of Lazarus.
Watu wa karibu na Sam.Misago kaeni karibu na ndugu yenu mumfariji Kabla hajajidhuru.
Mzigo aliotupiwa ni mzito kama kabwe.
Ni wanaume wachache sana katika dunia hii wanaweza kubeba mzigo alio tupiwa Sam.Misago et al
Allah akufanyie wepesi mdogo wangu Sam Misago na akuepishie mbali na shari
KwisaMimi naamini kabisa kuna wachache wameonewa katika hili
Eti kwisa nae dah
Kwamba kwisa shoga au??Kwisa
Nimeshakutana na watu 10 wakilisema hili na wala sio jana au juzi au mwaka huu
Kapafoma!!!mamba, oil chafu, konki konki konki master
[emoji144] [emoji144] [emoji144]Watu mnaochekelea ngoja siku watajwe ndugu zenu au mtajwe nyie kabisa. Dudu baya anazingua sana japo inaonekana kuna mtu yupo nyuma yake