Tetesi: God Forbid ! Sam Misago.anaweza kujiua!!!

Tetesi: God Forbid ! Sam Misago.anaweza kujiua!!!

Kama Konk Master amempitia basi na yeye punga pia, ikiwa hao wengine umeamini kwanini huyo usiamini?.
Huyo kwisa kama anajihusisha na hizo tabia basi yeye ndie huwapitia wenzie.jamaa hafanani kabisa
Wenzie si unawaona tu mkuu
Afu hivi ni kweli dudu baya alikua anawapitia wenzie ?
 
Honestly Sam hakuonewa...ni mchele mchele..oil chafu!
Mkuu,tatizo hapa sio kuonewa au kutokuonewa kama umemsoma vyema LIKUD

Tatizo ni njia iliyotumika kuwaweka wazi,ni mbaya sana kisaikolojia.

Hakuna tuhuma mbaya kwa mwanaume kama tuhuma ya ushoga. Kama unavyojua jamii yetu,hapo watu wote tayari wameshafunga mjadala kwamba waliotajwa wote ni mashoga na huwezi kuwaambia kitu kingine wakaelewa.

Kama alivyosema mtoa mada,hawa watu wanaweza kujidhuru. Kama ulifuatilia hicho kipindi utagundua hadi wageni waliofika pale walikuwa wanaibiaibia kumtazama muda ambao yeye alikuwa hawatazami.



 
Habareee ya mujini ni kuhusu mchele mpya toka Kyela......vijana wa kiume teke teke laiiiiiniiii........uchumi wa kati tutafika kweli?
😁😁😁
 
Hii nchi kuna watu wanajua kucheza na akili za wanancho, Hii issue ya mashoga ndani ya miezi miwili au mitatu ijayo huta isikia tena na nina hakika kipindi hicho kutakuwa na issue nyingine ambayo itakuwa iko hot.
 
Watu wenye hekima na busara wanasema macho ni pazia ya nafsi. Unaweza kusoma yaliyomo ndani ya nafsi ya MTU kwa kutazama macho Yake.

Juzi.nimetazama FNL show and honestyly speaking Sam Misago anaonekana.hayupo sawa kabisa.

Hata hiyo show yenyewe alikuwa anaonekana anaifanya kwa kukibaraguza ( kulazimisha furaha )

He seems to posses a very troubled mind just like the Nazarenus when he was informed about the death.of Lazarus.

Watu wa karibu na Sam.Misago kaeni karibu na ndugu yenu mumfariji Kabla hajajidhuru.

Mzigo aliotupiwa ni mzito kama kabwe.

Ni wanaume wachache sana katika dunia hii wanaweza kubeba mzigo alio tupiwa Sam.Misago et al

Allah akufanyie wepesi mdogo wangu Sam Misago na akuepishie mbali na shari
He should have died hereafter; There would have been a time for such a word
 
Back
Top Bottom