George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Ni wajinga ndio mnaamini haya kuwa wana uwezo wa kumtoa ktk hiyo mitandao. Sio kama kuwatoa wale covid19 ambao bado wanawatoq jasho.Pia Mh Lema ameonekana katika mtandao wa Twitter akipigia kampeni mchakato wa kumuondoa Diamond Platnumz katika tuzo za BET.
View attachment 1810930
Watamuua kijana wa watu mwaka huu!
Huu ni "unyama" aisee!Na akome kushurikuana na madhalimu.
Na Mie sielewi why diamond pekee?Kwanini huyu mjomba tu? Kuna wasanii kibao Tanzania ni wanachama wa CCM na wamefanya kampeni kila mtu aliona, Kwanini yeye tu?
Kuwa mwanaCcm haikufanyi ushindwe kupinga udhalimu. Hiki kitu naona wengi hamuelewi.Huku ni kuingilia uhuru wa mtu.
Mondi ana haki ya kushabikia chama chochote cha siasa na pia kumshabikia mwanasiasa yeyote aliyewekwa na chama chochote cha siasa.
Kushambulia kazi yake kisa tu ni mshabiki wa chama ambacho Lema hakubaliani nacho sio haki hata kidogo.
Huu mtindo mpya wa kuhusisha maisha ya mtu na ushabiki wake wa kisiasa utatuvuruga sana watanzania.
Diamond pamoja na umaarufu wake Hana qualifications za kuwa Rais. Standard seven Hana uwezo wa kuoongoza hii nchi. Usifikiri urais ni namba ya kutunga verse na kufurahisha watu tuu. Akina mwana FA wanazo angalau qualifications za kugombea uraishivi hawa hawajui kuwa Diamond is bigger than chadema. hivi diamond agombee urais na mbowe/lissu/lema nani atapata kura nyingi
Kwa hiyo huko uhamishoni ndo mikakati waliyofundishwa kuwang'oa maccm ndo hii? very low😆😆😆Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Mh Godbless Lema ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa wapo katika mchakato wa kuondoa kazi/videos za Diamond Platnumz katika mitandao ya YouTube na Facebook. Godbless Lema anadai Diamond amekuwa akijali "njaa" kuliko haki, hivyo kijana Hugo kutoka Tandale ni hatari zaidi ya gaidi.
Diamond ana "tabu" sana mwaka huu!
View attachment 1810929
Ahahaha huyu sasa amechoka kisiasaPia Mh Lema ameonekana katika mtandao wa Twitter akipigia kampeni mchakato wa kumuondoa Diamond Platnumz katika tuzo za BET.
View attachment 1810930
Watamuua kijana wa watu mwaka huu!
Shida siyo kufanya kampeni Ccm.Kwanini huyu mjomba tu? Kuna wasanii kibao Tanzania ni wanachama wa CCM na wamefanya kampeni kila mtu aliona, Kwanini yeye tu?
Sio rahisi kama anavyodhani. Hiyo sio mitqndao ya chadema...
Unamuharibia mwenzako kwa hiyo diamond alikuwa na haki kushabikia wauuaji?Huku ni kuingilia uhuru wa mtu.
Mondi ana haki ya kushabikia chama chochote cha siasa na pia kumshabikia mwanasiasa yeyote aliyewekwa na chama chochote cha siasa.
Kushambulia kazi yake kisa tu ni mshabiki wa chama ambacho Lema hakubaliani nacho sio haki hata kidogo.
Huu mtindo mpya wa kuhusisha maisha ya mtu na ushabiki wake wa kisiasa utatuvuruga sana watanzania.