Godbless Lema aazimia kuondoa kazi za Diamond YouTube/Facebook

Katika matamasha ya CCM walikua wanamuziki wengi sana
Diamond naamini ana kesi maalum lkn hawamuandami sababu ni kada

Wapo waliohitaji ajitoe kwao kwa kile kinachooneahwa kuwa waliumizwa na wanaCCM lkn hakuonyesha hata nia

Sasa ni wakati wa wao kumuonyesha kila 1 anamhitaji mwenzie kwa nyakati tofauti

Kura na maoni yao ndio vinahitajika BET

So na wao wana haki ya hicho wanachofanya
 
Tatizo kina Kigogo wabishi balaa wakikusakama lazima uharibikiwe angalia maguful,sabaya,kange,makonda
 
Hivi hawa hawajui kuwa Diamond is bigger than chadema. hivi diamond agombee urais na mbowe/lissu/lema nani atapata kura nyingi
Kijana kasome katiba inasemaje kuhusu urais,
 
Lema angeaza kwanza kuwatoa Covid-19 bungeni, hiyo inatija zaidi kuliko kuhangaika na huyo dimondi
 
Tatizo kina Kigogo wabishi balaa wakikusakama lazima uharibikiwe angalia maguful,sabaya,kange,makonda
tofauti ni kwamba, hao ni wanasiasa na huyu dogo ni mwanamziki... hawamuwezi hata kidogo, wajikite tu kwa wanasiasa ili waendelee kupata credits lakini sio huku... yaani huku waweingia cha kike, kwa lugha nyepesi wamelikoroga! hawajajua kwa kufanya hvo wanasababisha hata waliokuwa hawamfahamu diamond waanze kumfatilia yeye na kazi zake... we jaribu kuangalia takwimu zake kuanzia leo ni subscribers wangapi wataongezeka youtube, followers insta na views kwny wimbo wake wa acha nikae kimya! ndo utajua nani kagain na nan kaloose
 
Lema anampigia Diamond promo bila kujua, I used to believe he is smart.

Hizi harakati zake zinafanya BET waone kumbe huyu dogo ni mkubwa sana mpata mrengo wake wa kisiasa ni mjadala wa wanasiasa.

Mimi binafsi sijawahi kuipenda CCM na ile ya tyrannt phase ya mwendazake ndiyo ilizidi kunifanya nikichukie sana hicho chama lakini huu ujinga unaoendelea Twitter kumchagulia mtu chama cha ku support hauna mashiko.

Magu na henchmen wake ndiyo wawe accountable kwa madhila waliyosababisha lakini si kila mwanachama, shabiki au aliyeshiri kampeni iwe kwa kujitolea au kwa mkataba wa malipo.

Narudia tena, hiki kinachoendelea Twitter ni promo kwa dogo. FB na YouTube wako kibiashara zaidi, Lema sijui amekuwa blinded na personal hate au kitu gani, he sounds stupid and desperate. Hii movement yao huko Twitter inawafanya BET wamuangalie dogo kwa jicho la tatu.

Dogo toka anaanza carrier yake ya kuimbaimba amekumbana na vikwazo vingi na ndiyo maana hata negative publicity huwa anajua kuzitumia kwa faida yake. Yuko kimya akijua hii ni publicity hata kama ni negative publicity.
Let's wait and see the aftermath of this.
 
Dah hii sasa too much asee mbona asilimia 99 walikua ccm hao wasanii why Diamond? kwenye kupiga kura BET sawa ila kufikia eti washushe video youtube ni ujinga na chuki za kipumbavu. Kwa mantiki hii basi hata ndugu tusiongee sababu wapo ndugu zetu na marafiki ni ccm damu na walikua wanafurahi yaliyokua yanatokea but hatuwatengi sababu ndo walichoamua kukiamini, hii sio sawa asee Lema dah kumbe ni mpuuzi hivi.
 
True
 
Ila watz tuna wivu Sana, USA mbona wasanii wanasuport wagombea wanaowataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…