Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Aachiwe aende zake ukimbizini endapo anaona maisha yake yapo hatarini kiutaratibu mkimbizi huhitaji kutoa maelezo na vielelezo vya uhatari uliopo na si document za kusafiria kuna haki yake ya kimsingi hapo ananyanganywa
 
Sasa hapa ndio police wanapoharibu, mtu akitaka kuondoka achana naye mnamfuatilia wa nini sasa, nimeanza kuwachukia hata mimi japo ni MCCM.
 
Jibu swali langu kwanza nililouliza, ukimaliza kunijibu nitakujibu maswali yako.
Itabidi mkate nyengo kwa mafungu mafungu na yasiwe na ncha hapo ndipo wadau watawaelewa.
 
Tuwaeleze ni nani alimpiga Lissu risasi 16,nani alizitoa zile CCTV camera's pale kwny makazi yake na waliompihs risasi walichukuliwa hatua gani mpk sasa?
Kamuulize Tundu Lissu atakupa majibu sahihi. Nikikupa majibu yangu huwezi kuyaamini sababu unamuamini sana Lissu kila anachosema.
 
Kamuulize Tundu Lisu atakupa majibu sahihi. Nikikupa majibu yangu huwezi kuyaamini sababu unamuamini sana Lisu kila anachosema.
Na wewe unamuamini sana huyu jamaa.
ElmwDDRUcAAeHkP.jpg
 
Watu tulijitokeza kuandamana tukajikuta ubungo wenyewe. Sasa subirini jiwe liwanyooshe mtakoma, nimebadili tiketi naondoka wiki hii. Ngoja tuwaachie choo chenu wenyewe mtajua kosa mlilolifanya.
 
Kamanda Lema ni Mzushi siasa za ulaghai sasa basi. Hawezi kuwa mwanasiasa nje ya Bunge kama Mtikila et al
Tanzania imekuwa nchi ya visa na visasi Mungu tupiganie.

kiongozi wetu ana roho ya Kinyongo Sana.
 
Mbinu inaayotumika sasa na wapinga maendeleo ni kutengeneza picha kwamba Tanzania kuna machafuko.

Kama walivyokuwa wanachafua image ya nchi kipindi cha CORONA sasa wanajitahidi kuwatishia wawekezaji

Hivi mnadhani hatujui kinachofanyika. Mnataka Lema asitafute usalama wa maisha yake, wakati tumeona watu wengine wameuwawa na kushambuliwa, huku hakuna hatua zozote zimechukuliwa?
 
Hivi, tufanye nini ili tuwaelimishe hawa wafuasi wa Lissu waelewe mpango mkakati wa Lissu na Bob Amsterdam kwa nchi yetu??

Mtueleweshe kipi wakati kila kilichofanyika kwenye uchaguzi huu tumekiona kwa macho?
 
Hivi mnadhani hatujui kinachofanyika. Mnataka Lema asitafute usalama wa maisha yake, wakati tumeona watu wengine wameuwawa na kushambuliwa, huku hakuna hatua zozote zimechukuliwa?
Mbona wewe hujauwawa na ni mpinzani tangu enzi ya Mkapa?
 
Binafsi nisichangie chochote kumhusu.

Ila tu. kama nchi yangu Tanzania ip katika hii hali wanasiasa wanayotaka kutuaminisha, tusingeshindwa kuingia mtaani na kuwaunga mkono.

Mbona hapa kitaa barida tu.
Hakuna umasikini mbaya kama umasikini wa akili. Inasikitisha wewe ni fukara wa akili!
 
Noooo!!

Why though?

Are we officially a police state now?

Mkuu hujawazoea tu hawa CHADEMA!

Lema alienda Kenya kuwatafutia watoto wake shule na kuichomea TZ UNHCR ili nchi ionekana haipo salama.

Hakuna mtu anashughulika na Lema sasa hana ishu.
 
Back
Top Bottom