Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Itabidi mkate nyengo kwa mafungu mafungu na yasiwe na ncha hapo ndipo wadau watawaelewa.Jibu swali langu kwanza nililouliza, ukimaliza kunijibu nitakujibu maswali yako.
Nimesoma ila bado sijakuelewa ndugu Mng’ato.Itabidi mkate nyengo kwa mafungu mafungu na yasiwe na ncha hapo ndipo wadau watawaelewa.
Kamuulize Tundu Lissu atakupa majibu sahihi. Nikikupa majibu yangu huwezi kuyaamini sababu unamuamini sana Lissu kila anachosema.Tuwaeleze ni nani alimpiga Lissu risasi 16,nani alizitoa zile CCTV camera's pale kwny makazi yake na waliompihs risasi walichukuliwa hatua gani mpk sasa?
Na wewe unamuamini sana huyu jamaa.Kamuulize Tundu Lisu atakupa majibu sahihi. Nikikupa majibu yangu huwezi kuyaamini sababu unamuamini sana Lisu kila anachosema.
Hahahaa. Punguza jazba.Na wewe unamuamini sana huyu jamaa.View attachment 1622454
ThievesJibu swali, punguza jazba.
Punguza jazba ili uendelee kuchangia mada husika.Thieves
QengayPunguza jazba ili uendelee kuchangia mada husika.
Kama umeibiwa karipoti police.
Lema hawezi shindwa kulea familia sababu sio mbunge. Si kila wakati ni wa kupigana tu, kuna muda unajiandaa ili ukiamua kupigana ushinde.
Tanzania imekuwa nchi ya visa na visasi Mungu tupiganie.
kiongozi wetu ana roho ya Kinyongo Sana.
Mbinu inaayotumika sasa na wapinga maendeleo ni kutengeneza picha kwamba Tanzania kuna machafuko.
Kama walivyokuwa wanachafua image ya nchi kipindi cha CORONA sasa wanajitahidi kuwatishia wawekezaji
Hivi, tufanye nini ili tuwaelimishe hawa wafuasi wa Lissu waelewe mpango mkakati wa Lissu na Bob Amsterdam kwa nchi yetu??
Mbona wewe hujauwawa na ni mpinzani tangu enzi ya Mkapa?Hivi mnadhani hatujui kinachofanyika. Mnataka Lema asitafute usalama wa maisha yake, wakati tumeona watu wengine wameuwawa na kushambuliwa, huku hakuna hatua zozote zimechukuliwa?
Hakuna umasikini mbaya kama umasikini wa akili. Inasikitisha wewe ni fukara wa akili!Binafsi nisichangie chochote kumhusu.
Ila tu. kama nchi yangu Tanzania ip katika hii hali wanasiasa wanayotaka kutuaminisha, tusingeshindwa kuingia mtaani na kuwaunga mkono.
Mbona hapa kitaa barida tu.
Noooo!!
Why though?
Are we officially a police state now?