Mbona wewe hujauwawa na ni mpinzani tangu enzi ya Mkapa?
Mkuu hujawazoea tu hawa CHADEMA!
Lema alienda Kenya kuwatafutia watoto wake shule na kuichomea TZ UNHCR ili nchi ionekana haipo salama.
Hakuna mtu anashughulika na Lema sasa hana ishu.
D=Diabol no more no less!Hadi sasa hakuna aliyethibitisha kwamba waliokua wanamfuata ndio hao anaowatuhumu kumpiga risasi
Kila tukio kwa mwanasiasa ni opportunity
Huna hoja!Kwani kwenye vita kila mtu huwa anauwawa?
😂😂😂 yaanYeye na yule mwingine wapo kama mavi misukule.
Mtaa upi? Ipo ya aina hiyo kwa muda tu. Muda waja kwao pia kilio na kusaga meno. Kuona wewe huwezi kuona pamoja na kuwa na macho. Ufukara wa akili umekupofusha!Sijaona kaka, sijui mtaani kwenu.
Mtaani kwetu mtu haonewi aseeh, tungeshaliamsha.
Hata kata wanaosoma ni binadamu.Itabidi awahamishe watoto kutoka St.Constantine ada ni shida
Ujumbe muruuuwaUnauliza Lema Godless ni threat kwa nani? Kama upo kwa shemeji yako au una maslahi na watawala hawa wa mabavu hutoshangaa kuhusu hilo. . ila amini kwamba dikteta anawaogopa watu aina ya Lema kuliko huyo mumeo anavyoogopa kufukuzwa kazi kwa kumteta vibaya Nduli.
Akikujibu basi jihesabu kuwa wewe ni mwenye bahatiMkuu stroke, kitu gani ambacho unaamini ni kizuri kutoka kwa wapinzani wa nchi hii hasa CHADEMA? Hata kitu kimoja, au hoja moja waliyowahi kuileta au kuianzisha au kuiongelea katika nchi hii.
HapanaaaaaaaaTundu Lissu alishambuliwa kwa risasi akiwa na hiyo parliamentary immunity. Kuna uchunguzi wowote ulifanyika?
CCM ni janga la usalama wa watanzaniaVery true. Sasa wapo wachache wanaotaka kuitumbukiza kwenye ghasia na machafuko kwa 7bb ya tamaa yao ya madaraka.
Mama Diabol with diabolic intelligence and diabolical behaviour. Devils' Devil! Mother Devil. Mama D.Hakuna mtanzania anaweza kuandamana sababu hawana sana sababu za kuandamana. Tayari watanzania wana rais waliyemtaka
Maandamano yangekuwepo tuu kama John Pombe Joseph Magufuli angesema hagombei awamu ya pili
Watanzania wangelala office za CCM na mabango wakishinikiza John Pombe Joseph Magufuli agombee
YeaNoooo!!
Why though?
Are we officially a police state now?
Mama Diabol with diabolic intelligence and diabolical behaviour. Devils' Devil! Mother Devil. Mama D.