Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Mkuu hujawazoea tu hawa CHADEMA!

Lema alienda Kenya kuwatafutia watoto wake shule na kuichomea TZ UNHCR ili nchi ionekana haipo salama.

Hakuna mtu anashughulika na Lema sasa hana ishu.

Bensaa8 alikuwa na issue gani?
 
Nchi yetu hii ndiyo yanatokea haya? Seriously??
Au wanazusha??? Tanzania hii ndio imefikia huko??
 
Sijaona kaka, sijui mtaani kwenu.

Mtaani kwetu mtu haonewi aseeh, tungeshaliamsha.
Mtaa upi? Ipo ya aina hiyo kwa muda tu. Muda waja kwao pia kilio na kusaga meno. Kuona wewe huwezi kuona pamoja na kuwa na macho. Ufukara wa akili umekupofusha!
 
WAMSACHI BEGI ATAKUWA ANAENDA KUUZA UNYUNYU NAIROBI NASIKIA COVID IMEONGEZEKA GAFLA
 
Unauliza Lema Godless ni threat kwa nani? Kama upo kwa shemeji yako au una maslahi na watawala hawa wa mabavu hutoshangaa kuhusu hilo. . ila amini kwamba dikteta anawaogopa watu aina ya Lema kuliko huyo mumeo anavyoogopa kufukuzwa kazi kwa kumteta vibaya Nduli.
Ujumbe muruuuwa
 
Mkuu stroke, kitu gani ambacho unaamini ni kizuri kutoka kwa wapinzani wa nchi hii hasa CHADEMA? Hata kitu kimoja, au hoja moja waliyowahi kuileta au kuianzisha au kuiongelea katika nchi hii.
Akikujibu basi jihesabu kuwa wewe ni mwenye bahati
 
Huyu Lema ndiye alikuwa anadanganya wenzie kwamba,"HAKUNA DHAMBI MBAYA KAMA UOGA".

Mara,"NO FEAR NO HATE".

Vijana mnaotumiwa tu kama mazuzu mna la kujifunza sasa.
 
Lema nsyr kiki zimezidi.

Sqda baada ya kumpa mkewe ubunge wa viti maalum yeye anakimbia
 
Hakuna mtanzania anaweza kuandamana sababu hawana sana sababu za kuandamana. Tayari watanzania wana rais waliyemtaka

Maandamano yangekuwepo tuu kama John Pombe Joseph Magufuli angesema hagombei awamu ya pili

Watanzania wangelala office za CCM na mabango wakishinikiza John Pombe Joseph Magufuli agombee
Mama Diabol with diabolic intelligence and diabolical behaviour. Devils' Devil! Mother Devil. Mama D.
 
Mama Diabol with diabolic intelligence and diabolical behaviour. Devils' Devil! Mother Devil. Mama D.

Wewe ni mzima Kweli?

Una uelewa mdogo sana ndio maana unatoa tuu mitusi bila kujenga hoja.

Haya nenda kaandamane sasa.
 
Huu Sasa wanaoleta wapinzani ni upumbavu.

Lissu kafanya kampeni miezi miwili ametembea chocho zote mchana na usiku salama salmini leo baada ya kushindwa uchaguzi anadai eti anataka kuuwawa.

Lema kawa mbunge zaidi ya miaka kumi salama salmini baada yakushindwa ubunge nae anadai anataka kuuwawa. Kick za kipumbavu!
 
Back
Top Bottom