Huyu bwana hafai kabisa,wanaomuunga mkono ni watu wasiojtambua na wale wanaonufaika na huu utawala.Sisi wengine ndio maana tuliacha kumtetea magufuli mitandaoni maana tuliona dalili mbaya za utawala wake.
Wakati anaingia madarakani nilikuwa mmoja ya watu waliokuwa wanamtetea na kumsifia sana.
ndio mjue kwamba viongozi wa chadema ni wasanii tu,wanawatumieni
Kiongozi kataka kuharibu nchi,kachukua familia yake kasepa,alikua anataka kwenda Marekani,huku anawaacha na shida zenu,kwa nini kama ana uchungu asingebaki na watoto wake
Kama anahisi anatishwa wacha asepe, maisha ni popote,Una uhakika gani wanajitisha wenyewe?
Lissu aliposema kuna watu wanamfuata fuata baadhi yetu tulisema hivyo hivyo.
Leo natamani niyameze maneno yangu!
Sawa, kama mliogopa watu kupoteza maisha basi mngesusia uchaguzi kama baadhi ya wabunge walivyokimbia corona bungeni.Ulitaka watu wapoteze maisha kisha mseme wanatumiwa na watu wasiolitakia mema taifa?
Umesahau kuwa mzee Kabila (Rip) aliingia msituni sababu ya unyama na uonevu alioufanya Mobutu.Ameuliza kama kuna uonevu mbona waTZ hawakuandamana ndio nimetoa mifano ya Rwanda na Zaire ya Mobutu kwamba licha ya unyama uliofanyika ila sikuwahi ona maandamano.
Swali linakuja, Je kuna raia waliandamana?
NB: Napoongelea kagame kuchinja wahutu hatuongelei genocide tunaongelea Rwanda ya 1998-2003. Usikurupuke kuchangia vitu usivyokua na uelewa navyo.
Asante AsanteWafuasi anao, mashabiki wasio na vitambulisho vya kura, na ambao wanavyo hawapigi kura kisa hawaamini uchaguzi, na hapo hapo wanategemea mtu wao ashinde
Na wewe anza kukimbia usije kuuwawa.Nchi imeharibiwa na mtu mmoja mwenye siasa na mitazamo ya miaka ya 60 kurudi nyuma.
Mkuu huyo alitaka tu kujilipua, hakuna tishio lolote la maisha yakeOtherwise, nini kinaendelea hapa Tanzania?
Mzee kabila gani aliingia msituni? Au unaongelea jeshi la Rwanda lililovaa kombati za waasi? Mobutu ameongoza miaka mingapi? Amekuha kutolewa akiwa mgonjwa wa kansa hta hawezi tembea!! Unakumbuka maandamano ya wananfunzi Lubumbashi? Kma huyafahamy kagoogle ndio urudi kuropoka humu.Umesahau kuwa mzee Kabila (Rip) aliingia msituni sababu ya unyama na uonevu alioufanya Mobutu.
Unafahamu kuwa Gen Tito Okello na Museveni waliingia porini na kumg'oa amini?
Hao wote walipata sapoti toka kwa wanachi. Sababu kulikuwa na uonevu na unyama dhidi ya binadamu. Kwa hiyo ilikuwa sio lazima wananchi waandamane ndio ishara kuwa kuna uonevu na unyama.
Rwanda ya 1998-2003! Wahutu walichinjwa na Un ikakaa kimya? Mh...
In short watanzania wana akili timamu kama wameonewa na kunyimwa haki hakuna mtu atawshika mkono kuandamana au kudai haki zao. Watadai haki zao wenyewe kwa nguvu zote.
Unaongea utoto gani dogo?Sawa, kama mliogopa watu kupoteza maisha basi mngesusia uchaguzi kama baadhi ya wabunge walivyokimbia corona bungeni.
Ahaaa, naona kama mtu ambae unae angalia shilingi kwa upande mmoja tu.Mzee kabila gani aliingia msituni? Au unaongelea jeshi la Rwanda lililovaa kombati za waasi? Mobutu ameongoza miaka mingapi? Amekuha kutolewa akiwa mgonjwa wa kansa hta hawezi tembea!! Unakumbuka maandamano ya wananfunzi Lubumbashi? Kma huyafahamy kagoogle ndio urudi kuropoka humu.
2. Museveni alimng'oa Amin? Hahahha u can't be serious.... Okello alimpindua Obote!! na huyo museveni alipoangushwa kwenye uchaguzi ndio aliingia msituni. Ina maana tamaa ya madaraka ndio ilimpeleka msituni sio kupinga udikteta. Kumbuka alikubali uwaziri ila CHADEMA wamegomea ubunge wa bure so tofaut ni kubwa mnoo.
3. Ndio Rwanda ya 1998-2003, in fact mauaji yalianza 1996. UN imeandika ripoti nyingi tu kasome pia Miller-Davenport report imedadavua hayo mauaji ndani ya Rwanda na wakimbizi wa Rwanda huko Congo mashariki na ulimwenguni kote.
4. Lini wamewahi dai haki zao kwa maandamano? Wakulima wamewahi andamana? Walimu wamewahi andamana licha ya kulia lia miaka yote? Wanafunzi walionyimwa mikopo?
Sasa nikuhoji kuwa kushindwa kwao kuandamana ina maana wameridhika? Specifically kwa hayo makundi tajwa kma case study yetu.
mkuu huyo alitaka tu kujilipua,hakuna tishio lolote la maisha yake
Hapa anae zungumziwa ni Lema, issue ya Ben saanane na Azory Gwanda ni tofauti. Unarukaruka tu hojaWakati Bensaa8 na Azory Gwanda wanapotezwa, kulikuwa na tishio gani?
Jibu hoja tafadhaliUnaongea utoto gani dogo?
Hoja atoe wapi?Jibu hoja tafadhali
YesNoooo!!
Why though?
Are we officially a police state now?
Mbona hueleweki unadai Museveni alimtoa Amin sababu ya support ya wananchi ghafla tena unakiri kuwa alimtoa kwa vita ya kagera yaani majeshi ya kigeni/wavamizi!! Sasa mfano wako upo relevant kwa mada yetu?Ahaaa, naona kama mtu ambae unae angalia shilingi kwa upande mmoja tu.
Mzee Kabila alishika bunduki mapema sana miaka sitini baada ya Patrice Lumumba kuuliwa na Mobutu. Ndio maana alikimbilia Tanzania. Kuchelewa kumg'oa Mobutu sio sababu ya kusema watu walikuwa hawapingi uovu wake.
Kwa hiyo hujui kuwa Mseveni na Titto Okello ni moja ya watu waliopigana vita vya kagera? Ahaaaa.....
Kama wahutu walichinjwa na Un ikatoa ripoti bila kuchuakua hatua then this is nonsense.
Unataka wakulima ,wafanyakazi na walimu wadai haki zao kwa maandamano ndio ulidhike? Kwani hakuna njia sahihi za kudai haki zako mpaka uandamane?
Hapa anae zungumziwa ni Lema, issue ya Ben saanane na Azory Gwanda ni tofauti. Unarukaruka tu hoja