We endelea kuimba na kusifu mkuu hakuna shidaBinafsi nisichangie chochote kumhusu.
Ila tu. kama nchi yangu Tanzania ip katika hii hali wanasiasa wanayotaka kutuaminisha, tusingeshindwa kuingia mtaani na kuwaunga mkono.
Mbona hapa kitaa barida tu.
.
Mbona hueleweki unadai Museveni alimtoa Amin sababu ya support ya wananchi ghafla tena unakiri kuwa alimtoa kwa vita ya kagera yaani majeshi ya kigeni/wavamizi!! Sasa mfano wako upo relevant kwa mada yetu?
Ewaaa unakiri Kabila kutoroka DRC ila unamshangaa Lema kukimbilia kenya? Hahahhaha mbona unajichanganya mkuu? Anyway kma alikua ana support ya raia kwanini hakumtoa 1960 hadi 1996? Ina maana hujui kma ilivokua kwa Museveni basi na kwa Kabila bila support ya wavamizi wa kigeni asingemtoa Mobutu!!
Bottom line hapa ni kwamba licha ya raia kuwachukia Amin na Mobutu ila hawakuandamana na mwishowe wakang'olewa na wageni!!
About kagame hajafanyiwa kitu sababu ya Appeasement policy!! Kagoogle utaelewa
Back to topic..... Kwahiyo unakiri kuwa walimu licha ya kuchoshwa na mambo kibao ila hawakuandamana? Kumbe sio lazma watu waandamane ndio waonyeshe kukasirishwa? Sasa mbona CHADEMA kutoandamana unadai hawana popular support? Hahahahah
Mifano yako haifanani na kinachoongelewa hapaHakuna mjadala usio na mifano, hata huko kwenye nyumba za ibada anayejadiliwa ni Mungu, lakini haizuii shetani kuongolewa. Labda useme umekuja na marking scheme humu jukwaani.
Chadema walitaka wananchi waandamane ila wananchi wakakataaa kuwapa support ndio maana tunasema Chadema hamna popular support mlihamasisha maandamano wananchi hawakuitikia wito huo sababu wanajua hamna dhuluma..
Mbona hueleweki unadai Museveni alimtoa Amin sababu ya support ya wananchi ghafla tena unakiri kuwa alimtoa kwa vita ya kagera yaani majeshi ya kigeni/wavamizi!! Sasa mfano wako upo relevant kwa mada yetu?
Ewaaa unakiri Kabila kutoroka DRC ila unamshangaa Lema kukimbilia kenya? Hahahhaha mbona unajichanganya mkuu? Anyway kma alikua ana support ya raia kwanini hakumtoa 1960 hadi 1996? Ina maana hujui kma ilivokua kwa Museveni basi na kwa Kabila bila support ya wavamizi wa kigeni asingemtoa Mobutu!!
Bottom line hapa ni kwamba licha ya raia kuwachukia Amin na Mobutu ila hawakuandamana na mwishowe wakang'olewa na wageni!!
About kagame hajafanyiwa kitu sababu ya Appeasement policy!! Kagoogle utaelewa
Back to topic..... Kwahiyo unakiri kuwa walimu licha ya kuchoshwa na mambo kibao ila hawakuandamana? Kumbe sio lazma watu waandamane ndio waonyeshe kukasirishwa? Sasa mbona CHADEMA kutoandamana unadai hawana popular support? Hahahahah
Mkuu, kwahiyo unaamini Lema kaangushwa kabisa Arusha na kwamba hana voters wa kutosha? Like for real? Yaani Tz nzima CHADEMA ina madiwani 15 tu!! Na kwako unaona ni realistic?Sasa nimeamini liberal politics and dramas , are two in one.
Chakula kinapotea wanalazimisha kipatikane kwa njia nyingine.
Ukianguka kisiasa unachotakiwa kufanya ni kujipanga kwa ajili ya vita vya kisiasa vya kesho.
Wanaongopa fedheha wakiwa njee ya Bunge? Njooni muwe kama sisi tunavyojenga chama, msiharibu local politics na political parties kwa kutafuta tonge.
Mtapata waungaji mkono ambao wanafikiri maisha ya kisiasa ni tonge na ni leo kama Lema, 1,900,000 Electoral voter needs leadership and to be made
members of Chadema.
Achana na hayo ya Museveni na Kabila huko unazidi kujichanganya tu, maana walitolewa na wageni sio raia kwahiyo achana na huko.Chadema walitaka wananchi waandamane ila wananchi wakakataaa kuwapa support ndio maana tunasema Chadema hamna popular support mlihamasisha maandamano wananchi hawakuitikia wito huo sababu wanajua hamna dhuluma.
Vita vya Kagera ambavyo vilipivanwa na watanzania walioungana na waganda waliokuwa wanapinga uovu wa Amini vilikuwa na support kubwa kwa wananchi ndio maana nakuambia Museveni alikuwa na support kubwa ya wananchi maana walikuwa wanataka maovu na ubaya wa Amin uondoke. Sawa na wananchi walivyompa Kabila sapoti ya kumg'oa Mobutu.
Hata hapa Tanzania kama kuna uonevu na unyanyasaji kama wa Amin au Mobutu unadhani watanzania wasingeomba msaada toka nje? Jibu ni kuwa hakuna unyanyasaji wala maovu dhidi ya wananchi kiasi cha kufananisha na Zaire ya Mobutuna Uganda ya Amin. Ndio maana watu wanamshangaa Lema kutafuta umaarufu kujifanya anatoroka. Kama kuna uonevu na ukiukwaji wa haki za binadamu Un hawana ofisi hapa mpaka aende Nairobi!
Sijakiri walimu kuchoshwa na mambo wasiolidhika nayo usinukuu vibaya. Mimi nilichomaanisha ni kuwa kama wanadai haki zao sio lazima waandamane. Kudai haki hakuna option moja tu ya kuandamana.
Bensaa8 alipopotezwa au mwandishi Azory walikuwa na kitisho gani?
Unajuaje Walitaka kumuua kwa kuwa ni tishio na sio mzulumishi, inaonyesha mshajua sababu ya yeye kutaka kuuliwa.Waliotaka kumuua 2017 alikuwa tishio kivipi hadi wakataka kumuua?
Kwa iyo ww sharti mtu afikirie kama ww ndio unamuona mtu flani hivi muelewa.Huwa nakuona kama mtu flani hivi muelewa sana kumbe ndo hivi
Swali haliendani na mada husika. Maana Chadema walisema wataandamana na wakaomba wananchi waunge mkono. Sasa kuhusu vitisho,sidhani kama vitisho vinaweza kuzuia nguvu ya umma inayodai haki. Nilishudia Misri pamoja na kupiga watu risasi lakini Taharir Square ilikuwa inajaa watu na Mubarak alig'oka.Achana na hayo ya Museveni na Kabila huko unazidi kujichanganya tu, maana walitolewa na wageni sio raia kwahiyo achana na huko.
Hoja hapa ni kwamba bila CHADEMA kuandamana ina maana hawana support sababu wananchi wameridhika, ndio nmetoa mfano wa wale wanafunzi waliotishia kuandamana kudai mikopo je walipotishiwa kufukuzwa na baadae wakaacha maandamano je ina maana waliridhika?
Naomba ujibu hili specifically
Baada ya dili la kuoana waume kwa waume kushindikana watu wameamua kuwafata wanaume huko Ulaya na USA.
Lema hana cha kujivunia na anajua maisha yatakavyokua magumu kwake na kurudia wizi wa magari, sasa ameamua kutafuta ukimbizi ili akaoshe hata choo ugaibuni.
Walimcheka Dr slaa wakati anafanya supermarket kwa kuwa wao walikuwa na ubunge sasa wamekosa wanaona aibu kuishi tanzania.
Lema alipe madeni aliyo kopa bungeni aache kukimbimbia
Mkuu una hasira
tindo hujui kuwa Museveni alishiriki kumg'oa Amini? Hujui kuwa Museveni na wenzake walipata sapoti ya wananchi?Mkuu bora na ww utusaidie kupambana na hilo tikiti maji, huwa hajui lolote zaidi ya kupiga propaganda mfu hapa jukwaani.
Madeni yamewakimbiza wanadai kuna tishio la kuuwawa,Baada ya dili la kuoana waume kwa waume kushindikana watu wameamua kuwafata wanaume huko Ulaya na USA.
Lema hana cha kujivunia na anajua maisha yatakavyokua magumu kwake na kurudia wizi wa magari, sasa ameamua kutafuta ukimbizi ili akaoshe hata choo ugaibuni.
Walimcheka Dr slaa wakati anafanya supermarket kwa kuwa wao walikuwa na ubunge sasa wamekosa wanaona aibu kuishi tanzania.
Lema alipe madeni aliyo kopa bungeni aache kukimbimbia
tindo hujui kuwa Museveni alishiriki kumg'oa Amini? Hujui kuwa Museveni na wenzake walipata sapoti ya wananchi?
Hujui kuwa Chadema haina sapoti ya wananchi ndio maana hata maandamano hayakufanikiwa?
Ahaaaa, Amin alitoka madarakani baada ya vita vya Kagera mwishoni mwa 1979. Museveni aliingia madarakani mwaka 1986, ninaposem alimg'oa Amin sababu alikuwa ni mmoja wa makamanda waliopigana vita vya Kagera ili kumg'oa Amin. Tumia common sense acha hasira,tulia acha papara.Amini alitoka madarakani lini, na Museveni aliingia madarakani lini na vipi, labda tuanzie hapo ili nijue kama unajua unaloongea, au unaandika tu kwakuwa unajua kuandika.
Unakimbilia tena Misri? Baada ya DRC na UG kukushinda Haaahaaa.Swali haliendani na mada husika. Maana Chadema walisema wataandamana na wakaomba wananchi waunge mkono. Sasa kuhusu vitisho,sidhani kama vitisho vinaweza kuzuia nguvu ya umma inayodai haki. Nilishudia Misri pamoja na kupiga watu risasi lakini Taharir Square ilikuwa inajaa watu na Mubarak alig'oka.
Mwingine huyu hapaMadeni yamewakimbiza wanadai kuna tishio la kuuwawa,
Hawa jamaa hawawezi survive nje ya politics.
Kiufupi wanasiasa wengi sana hawawezi ishi nje ya mfumo wa siasa, kipato chao kinatokana na siasa, haya ni makosa ya kimfumo.