Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hata kama hakuna aliyethibitisha, ukosefu huo wa ithibati hauondoi ukweli kwamba jaribio la kuuondoa uhai wake lilifanyika baada ya hapo. Baada ya yeye kusema kuna watu wanamfuata fuata.Hadi sasa hakuna aliyethibitisha kwamba waliokua wanamfuata ndio hao anaowatuhumu kumpiga risasi
Kila tukio kwa mwanasiasa ni opportunity
Lema hawezi shindwa kulea familia sababu sio mbunge. Si kila wakati ni wa kupigana tu, kuna muda unajiandaa ili ukiamua kupigana ushinde.Ataleaje familia sasa wakati kazi yake ni siasa? Akiipongeza CCM ndio anakuwa hana kazi tena sasa familia utailea mikono mitupu mkuu?
Lakini pia kwani tabu sana ilikuwa kwa wahusika kuondoa viashiria vya kuonesha uchaguzi umeporwa na kuionesha jamii kuwa uchaguzi uko huru?
Binafsi nisichangie chochote kumhusu.
Ila tu.... kama nchi yangu Tanzania ip katika hii hali wanasiasa wanayotaka kutuaminisha...tusingeshindwa kuingia mtaani na kuwaunga mkono.
Mbona hapa kitaa barida tuu...
Mpaka sasa nani amekamatwa kwa kuhojiwa tangu Lisu apigwe risasiHadi sasa hakuna aliyethibitisha kwamba waliokua wanamfuata ndio hao anaowatuhumu kumpiga risasi
Kila tukio kwa mwanasiasa ni opportunity
Wewe ni kati ya mafisadi na vyeti fake utamteteaje Rais wakati aliwatumbua?sisi wengine ndio maana tuliacha kumtetea magufuli mitandaoni maana tuliona dalili mbaya za utawala wake.
wakati anaingia madarakani nilikuwa mmoja ya watu waliokuwa wanamtetea na kumsifia sana.
sisi wengine ndio maana tuliacha kumtetea magufuli mitandaoni maana tuliona dalili mbaya za utawala wake.
wakati anaingia madarakani nilikuwa mmoja ya watu waliokuwa wanamtetea na kumsifia sana.
Hata kama hakuna aliyethibitisha, ukosefu huo wa ithibati hauondoi ukweli kwamba jaribio la kuuondoa uhai wake lilifanyika baada ya hapo. Baada ya yeye kusema kuna watu wanamfuata fuata.
Uongo?
Siasa bila watu unaweza wehuka, mtaji wa mwanasiasa ni watu.Hakuna mtanzania anaweza kuandamana sababu hawana sana sababu za kuandamana. Tayari watanzania wana rais waliyemtaka
Maandamano yangekuwepo tuu kama John Pombe Joseph Magufuli angesema hagombei awamu ya pili
Watanzania wangelala office za CCM na mabango wakishinikiza John Pombe Joseph Magufuli agombee
Sina upande wowote. Kumtetea na kumsifia magufuli sio kazi rahisi, inabidi ujitoe ufahamu, uwe nusu zezeta.kwahiyo umeamua kukaa upande gani??maana hata huo wa kusiliba umepoteana.
usilolijua ni kama usiku wa kiza. sawa ndg, upo sahihi.Wewe ni kati ya mafisadi na vyeti fake utamteteaje Rais wakati aliwatumbua?
sina upande wowote. kumtetea na kumsifia magufuli sio kazi rahisi, inabidi ujitoe ufahamu, uwe nusu zezeta.
Msanii huyo!Lema ana madhara gani wajameni.?
~hana bunduki
~hana jeshi
~hata jiwe hana
au mdomo wake umekuwa kifaru?
Mpaka sasa nani amekamatwa kwa kuhojiwa tangu Lisu apigwe risasi
Hutakiwi kumtetea yeyote...tetea uachokiamini wewe.sina upande wowote. kumtetea na kumsifia magufuli sio kazi rahisi, inabidi ujitoe ufahamu, uwe nusu zezeta.