Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hata kama hakuna aliyethibitisha, ukosefu huo wa ithibati hauondoi ukweli kwamba jaribio la kuuondoa uhai wake lilifanyika baada ya hapo. Baada ya yeye kusema kuna watu wanamfuata fuata.Hadi sasa hakuna aliyethibitisha kwamba waliokua wanamfuata ndio hao anaowatuhumu kumpiga risasi
Kila tukio kwa mwanasiasa ni opportunity
Uongo?