Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Hadi sasa hakuna aliyethibitisha kwamba waliokua wanamfuata ndio hao anaowatuhumu kumpiga risasi

Kila tukio kwa mwanasiasa ni opportunity
Hata kama hakuna aliyethibitisha, ukosefu huo wa ithibati hauondoi ukweli kwamba jaribio la kuuondoa uhai wake lilifanyika baada ya hapo. Baada ya yeye kusema kuna watu wanamfuata fuata.

Uongo?
 
Ataleaje familia sasa wakati kazi yake ni siasa? Akiipongeza CCM ndio anakuwa hana kazi tena sasa familia utailea mikono mitupu mkuu?

Lakini pia kwani tabu sana ilikuwa kwa wahusika kuondoa viashiria vya kuonesha uchaguzi umeporwa na kuionesha jamii kuwa uchaguzi uko huru?
Lema hawezi shindwa kulea familia sababu sio mbunge. Si kila wakati ni wa kupigana tu, kuna muda unajiandaa ili ukiamua kupigana ushinde.
 
Sisi wengine ndio maana tuliacha kumtetea magufuli mitandaoni maana tuliona dalili mbaya za utawala wake.

Wakati anaingia madarakani nilikuwa mmoja ya watu waliokuwa wanamtetea na kumsifia sana.
 
Let him go,he is full of idiotic behavior as he propagated for chaos which in turn could harm his friends,relatives ,parents and others to mention.
 
Binafsi nisichangie chochote kumhusu.

Ila tu.... kama nchi yangu Tanzania ip katika hii hali wanasiasa wanayotaka kutuaminisha...tusingeshindwa kuingia mtaani na kuwaunga mkono.

Mbona hapa kitaa barida tuu...

Hakuna mtanzania anaweza kuandamana sababu hawana sana sababu za kuandamana. Tayari watanzania wana rais waliyemtaka

Maandamano yangekuwepo tuu kama John Pombe Joseph Magufuli angesema hagombei awamu ya pili

Watanzania wangelala office za CCM na mabango wakishinikiza John Pombe Joseph Magufuli agombee
 
sisi wengine ndio maana tuliacha kumtetea magufuli mitandaoni maana tuliona dalili mbaya za utawala wake.

wakati anaingia madarakani nilikuwa mmoja ya watu waliokuwa wanamtetea na kumsifia sana.

Kwahiyo umeamua kukaa upande gani, maana hata huo wa kusiliba umepoteana.
 
Hata kama hakuna aliyethibitisha, ukosefu huo wa ithibati hauondoi ukweli kwamba jaribio la kuuondoa uhai wake lilifanyika baada ya hapo. Baada ya yeye kusema kuna watu wanamfuata fuata.

Uongo?

Ni kweli.

Lakini pia wapo viongozi wengine waliotishiwa na waliojaribiwa kuuawa ndani ya office za umma na wapo waliouwawa pia. Kupeleka tuhuma kwa serikali na kushinikiza hizo tuhuma zikubalike kama ukweli ndio shida

Kumbuka
John Pombe Joseph Magufuli
Harrison Mwakyembe
Horace Kolimba
 
Hakuna mtanzania anaweza kuandamana sababu hawana sana sababu za kuandamana. Tayari watanzania wana rais waliyemtaka

Maandamano yangekuwepo tuu kama John Pombe Joseph Magufuli angesema hagombei awamu ya pili

Watanzania wangelala office za CCM na mabango wakishinikiza John Pombe Joseph Magufuli agombee
Siasa bila watu unaweza wehuka, mtaji wa mwanasiasa ni watu.
 
kwahiyo umeamua kukaa upande gani??maana hata huo wa kusiliba umepoteana.
Sina upande wowote. Kumtetea na kumsifia magufuli sio kazi rahisi, inabidi ujitoe ufahamu, uwe nusu zezeta.
 
Ila wazungu tuwaonye hayo makundi wanayotaka ku import kama wakimbizi wengine wana uzoefu na mambo ya kigaidi mbeleni wasije jilaumu

Kuna tetesi wapemba kule Zanzibar WAZOEFU WA UHARAMIA wanataka kukimbilia kwenu wazungu baada ya kuvurumishwa na polisi

Naona Lema kakodisha Immigration lawyer wamsaidie
Anyway peace in AFRICA IS PEACE to them also
 
sina upande wowote. kumtetea na kumsifia magufuli sio kazi rahisi, inabidi ujitoe ufahamu, uwe nusu zezeta.

kumpinga magufuli ni lazima uwe mnafiki,wakati huo huo usiye na msimamo.

yaani tapeli fulani.
 
sina upande wowote. kumtetea na kumsifia magufuli sio kazi rahisi, inabidi ujitoe ufahamu, uwe nusu zezeta.
Hutakiwi kumtetea yeyote...tetea uachokiamini wewe.

Binadamu tunabadilika kesho na leo.
 
Back
Top Bottom