Wewe Dada una funza kichwaniHadi sasa hakuna aliyethibitisha kwamba waliokua wanamfuata ndio hao anaowatuhumu kumpiga risasi
Kila tukio kwa mwanasiasa ni opportunity
Hakuna ajuae sababu hata dereva aliyekua nae ambaye alikua shahidi mzuri amefichwa ubelgiji
Inafikirisha sana hii
Na wewe kila saa mfano wa Lisu. Lisu ni mwanasheria, Ukitishiwa maisha unapeleka wapi taarifa zako?Lisu alipeleka wapi taarifa zake?Kwanini isiwe planned mission ili tuseme alisema kama ambaye kila siku unaleta story za Lisu?kwa unavyojua Lema ni tishio kwa nani na kwa Lipi zaidi hasa hadi Lazima auawe?Kwanini asitishiwe kabla hajachukua form ya kugombea au wakati anagombea?Now kashindwa, ni tishio kivipi hadi LAZIMA auawe?Una uhakika gani wanajitisha wenyewe?
Lissu aliposema kuna watu wanamfuata fuata baadhi yetu tulisema hivyo hivyo....
Leo natamani niyameze maneno yangu!
Listen to me my brotherAre you the giver of that right?
It is like Ethiopia now..
My fellow Tanzanians started to run outside the country and are arrested due to they miss VISA!
Hii ni fulfillment ya ahadi iliyokuwa inatolewa kwenye kampeni, 'nitaiambia international community' iingilie kati. Baada ya kujaribu ya mandamano ikashindikana, sasa ndo imekuja hii ya kutafuta hifadhi kwenye ubalozi wa marekani (lissu alikuwa anaenda us embassy Dar, lema anaenda us embassy aNbo)!Una uhakika gani wanajitisha wenyewe?
Lissu aliposema kuna watu wanamfuata fuata baadhi yetu tulisema hivyo hivyo....
Leo natamani niyameze maneno yangu!
Waliotaka kumuua 2017 alikuwa tishio kivipi hadi wakataka kumuua?Na wewe kila saa mfano wa Lisu. Lisu ni mwanasheria, Ukitishiwa maisha unapeleka wapi taarifa zako?Lisu alipeleka wapi taarifa zake?Kwanini isiwe planned mission ili tuseme alisema kama ambaye kila siku unaleta story za Lisu?kwa unavyojua Lema ni tishio kwa nani na kwa Lipi zaidi hasa hadi Lazima auawe?Kwanini asitishiwe kabla hajachukua form ya kugombea au wakati anagombea?Now kashindwa, ni tishio kivipi hadi LAZIMA auawe?
Nyie ndio mashetani dunianiAiseee Siamini. Lema nae analeta maigizo
Yaan hata kuwa neutral huwezi we ni kutetea
Hivi tume ya haki za binadamu ya umoja wa mataifa inaitwa UNHCR?
U= United
N= Nations
H= High
C= Commissioner for
R= Refugees
Funga bakuli pepo mchafu ushindwe!Na wewe kila saa mfano wa Lisu. Lisu ni mwanasheria, Ukitishiwa maisha unapeleka wapi taarifa zako?Lisu alipeleka wapi taarifa zake?Kwanini isiwe planned mission ili tuseme alisema kama ambaye kila siku unaleta story za Lisu?kwa unavyojua Lema ni tishio kwa nani na kwa Lipi zaidi hasa hadi Lazima auawe?Kwanini asitishiwe kabla hajachukua form ya kugombea au wakati anagombea?Now kashindwa, ni tishio kivipi hadi LAZIMA auawe?
Ngoja akajikabidhi UNHCR halafu wampeleke kambi za wakimbizi za wasomali walioko Kenya akakae huko ndipo kichwa chake kitakaa sawa
Bonyeza/click ID yake then itafunguka na kuwa na options. Bonyeza Ignore na hutaona contents zake tena.Wewe mama d unaudhi sijui nifanyeje nisione comment zako [emoji779]️[emoji779]️[emoji119]