INRI
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 1,324
- 2,319
Wewe Dada una funza kichwaniHadi sasa hakuna aliyethibitisha kwamba waliokua wanamfuata ndio hao anaowatuhumu kumpiga risasi
Kila tukio kwa mwanasiasa ni opportunity
Hujasikia ile clip kheri James anasema " sasa hivi ni sindano ya sumu tu pyuuu, kwisha kazi yake"?