Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Hivi utaratibu wa kupata asylum ukoje? Mbona Lema anazunguka sana akati hata huku anaweza kukamilisha.
 
Aiseeee. Tanzania tunaelekea wapi? Masikitiko makubwa
 
Una uhakika gani wanajitisha wenyewe?

Lissu aliposema kuna watu wanamfuata fuata baadhi yetu tulisema hivyo hivyo....

Leo natamani niyameze maneno yangu!
Na wewe kila saa mfano wa Lisu. Lisu ni mwanasheria, Ukitishiwa maisha unapeleka wapi taarifa zako?Lisu alipeleka wapi taarifa zake?Kwanini isiwe planned mission ili tuseme alisema kama ambaye kila siku unaleta story za Lisu?kwa unavyojua Lema ni tishio kwa nani na kwa Lipi zaidi hasa hadi Lazima auawe?Kwanini asitishiwe kabla hajachukua form ya kugombea au wakati anagombea?Now kashindwa, ni tishio kivipi hadi LAZIMA auawe?
 
It is like Ethiopia now..
My fellow Tanzanians started to run outside the country and are arrested due to they miss VISA!

Ethiopia wanakimbia masikini wasio na future, tz wanakimbia waliokosa ubunge[emoji23][emoji23][emoji23].

Kwani mnafikiriaga aje wenzetu!!
 
Una uhakika gani wanajitisha wenyewe?

Lissu aliposema kuna watu wanamfuata fuata baadhi yetu tulisema hivyo hivyo....

Leo natamani niyameze maneno yangu!
Hii ni fulfillment ya ahadi iliyokuwa inatolewa kwenye kampeni, 'nitaiambia international community' iingilie kati. Baada ya kujaribu ya mandamano ikashindikana, sasa ndo imekuja hii ya kutafuta hifadhi kwenye ubalozi wa marekani (lissu alikuwa anaenda us embassy Dar, lema anaenda us embassy aNbo)!
 
Na wewe kila saa mfano wa Lisu. Lisu ni mwanasheria, Ukitishiwa maisha unapeleka wapi taarifa zako?Lisu alipeleka wapi taarifa zake?Kwanini isiwe planned mission ili tuseme alisema kama ambaye kila siku unaleta story za Lisu?kwa unavyojua Lema ni tishio kwa nani na kwa Lipi zaidi hasa hadi Lazima auawe?Kwanini asitishiwe kabla hajachukua form ya kugombea au wakati anagombea?Now kashindwa, ni tishio kivipi hadi LAZIMA auawe?
Waliotaka kumuua 2017 alikuwa tishio kivipi hadi wakataka kumuua?
 
Aiseee Siamini. Lema nae analeta maigizo
Nyie ndio mashetani duniani

Lissu aliposema anafautwa na watu wasio na nia nzuri mkasema anaigiza

Mpaka akapigwa risasi mchana kweupe, amepata ulemavu wa kudumu na akanyimwa haki zake zote kama mbunge kwa makusudi na hadi leo hakuna mrejesho wa hao watu waliotaka kumuua.

Ukiandika fikiri, sio unaruhusu bakuli lako kubwabwaja kama choo.
 
Asylum huwa haitolewi bila kujilizisha uwepo wa tishio,huwezi kukurupuka kuomba asylum na ukapewa,ukiona aslylum imetolewa ujue wamejilizisha uwepo wa tishio la uhai wako
 
Mungu sasa ana waswitch wanajiumbua wenyewe.
Lema anakipi mpaka kutishiwa huyu fala?

Hawana kazi za kufanya hapa bongo ubunge wao umekoma wanatafuta fursa za maisha U.S na Europe wakabebe maboksi kwakisingizio cha kutishiwa kuuwawa.
 
Hivi ilikua je hadi Tanzania iliyokuwa Geneva ya Afrika kutumbukia kwenye mkwamo wa kikatili kizandiki ushetani wa utawala usioheshimu utu haki wala utawala wa kidemokrasia?

Mungu rehemu taifa hili linalozama matopeni kwa kasi ya 5G.
 
Na wewe kila saa mfano wa Lisu. Lisu ni mwanasheria, Ukitishiwa maisha unapeleka wapi taarifa zako?Lisu alipeleka wapi taarifa zake?Kwanini isiwe planned mission ili tuseme alisema kama ambaye kila siku unaleta story za Lisu?kwa unavyojua Lema ni tishio kwa nani na kwa Lipi zaidi hasa hadi Lazima auawe?Kwanini asitishiwe kabla hajachukua form ya kugombea au wakati anagombea?Now kashindwa, ni tishio kivipi hadi LAZIMA auawe?
Funga bakuli pepo mchafu ushindwe!
 
Wewe mama d unaudhi sijui nifanyeje nisione comment zako [emoji779]️[emoji779]️[emoji119]
Bonyeza/click ID yake then itafunguka na kuwa na options. Bonyeza Ignore na hutaona contents zake tena.
 
Back
Top Bottom