Godbless Lema akipata ubunge Arusha nahama nchi

Godbless Lema akipata ubunge Arusha nahama nchi

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Kama kuna wapinzani wanasogeza muda wao wa lala salama ni Mhe. Godbless Lema

Namshauri Mhe. Lema yale maneno ya Mhe. Spika kama kweli kakopa hajalipa ajiandae kulipa mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo Arusha

Vyema nikatoa tahadhari kuliko Kuja kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu vyake na ubunge ashakosa.

Halafu atangaze kutaka kuhamia CCM, hilo alitawezekana.

Wanachama wa CHADEMA amtapenda kuona Mali xa kaka yetu mpendawa zikiuzwa sababu ya madeni.

Namshauri mapema hili asije akahisi kumalizia madeni yaliyopo kusubiri posho za bunge la 2021 ataaibika kakangu.
 
kwani 2020 kuna nini?inasikitisha mno kuona hadi leo middle class ya Tanzania tunajifanya hatuoni yanayofanyika on the ground,kweli hii nayo ni hoja ya kuletwa kujadiliwa humu wakati uchaguzi hakuna na ushahidi wote tumejionea kuhusu huu uchaguzi waliouita wa serikali za mitaa!!why ccm wanakua waoga wa to level the playing field halafu wapiga kura tuchague?

Why awamu hii pamoja na kujisifia imeleta maendeleo kwa wananchi lakini bado wanaogopa kwenda kucheza mechi pale uhuru stadium na wanalazimisha game ikachezwe Kitonga Pass,wakati wao wakitokea Ilula kuja Comfort Hotel na wapinzani watokee Comfort Hotel waelekee Ilula?,mwaka huu hakuna uchaguzi na hoja kama hizi zinaonyesha ni kiasi gani generation hii ilivyooza.
 
Uchaguzi wa Huru na Haki ccm watakua wapinzani na hata nafasi KUB hawawezi kuona! Mioyo ya Watanzania imechoka na rangi zingine
 
Msitake kuiingiza nchi kwenye matatizo; hakuna wa kumpiku Lema Arusha hata Mwenyekiti wenu hawezi kufua dafu.

Arusha, Mbeya huko msahau milele.
 
Kama kunaaaa wapinzanii wanasogezaa mdaa waooo WA lala salama n MH. godbless lema

Namshaurii MH Lena Yale manenoo yaa MH Spika kama kweli kakopa ajalipa ajiandae KULIPA mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo arusha

Vyema nkatoaa tahadhari kuliko Kujaa kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu vyake na ubunge ashakosa

ALAFU aatangaze kutaka kuhamia CCM
HILOO alitawezekana

Wanachama WA chadema amtapenda kuona Mali xa kakayetu MPENDWA zikiuzwa sababu ya madeni

Namshauriii mapemaa hili asije akahisi kumalizia madeni yaliyopo kusubiri posho za bunge LA 2021 ataaibika kakangu
Mleta uzi bora uandae passport yako mapema ili uhame nchi. Angalia usije kuwa kama Cap Komba ambaye wakati wa Bunge la Katiba alisema mamboa yakiwa...... ataingia msituni! Na kweli ameingia msituni. Nawe utamfuata huko huko!
 
Uchaguzi wa Mwaka huu unaweza mgumu kuliko wa 2015.You take my words!
 
Chombo kwenda mrama
IMG_20200219_122948.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo mkuu, lazima tuangalie pia kama hatapita , hatapitaje? Kwakutochaguliwa na wananchi au kwa kutumia tume na polisi? Kama hatachaguliwa na wanachi kihalali kabisa na mimi nakuunga mkono, lakini kama ni kwakutumia nguvu , hapo hamna kitu, maana tunajua mkuu wa kaya alishawaambia au waonya wakurugenzi wasitangaze washindi kutika vyama vya upinzani, na pia tumeona uchaguzi wa serikali za mitaa ulivyokuwa , akina polepole na bashiri wanatenda dhambi ya uongo kwakusema eti walioeleka wanasheria nchi nzima kuwapa semina wagombea wa ccm jinsi ya kujaza fomu. Sijui ni nchi gani, maana huku kwetu hawakufika?
Kama kunaaaa wapinzanii wanasogezaa mdaa waooo WA lala salama n MH. godbless lema

Namshaurii MH Lena Yale manenoo yaa MH Spika kama kweli kakopa ajalipa ajiandae KULIPA mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo arusha

Vyema nkatoaa tahadhari kuliko Kujaa kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu vyake na ubunge ashakosa

ALAFU aatangaze kutaka kuhamia CCM
HILOO alitawezekana

Wanachama WA chadema amtapenda kuona Mali xa kakayetu MPENDWA zikiuzwa sababu ya madeni

Namshauriii mapemaa hili asije akahisi kumalizia madeni yaliyopo kusubiri posho za bunge LA 2021 ataaibika kakangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kunaaaa wapinzanii wanasogezaa mdaa waooo WA lala salama n MH. godbless lema

Namshaurii MH Lena Yale manenoo yaa MH Spika kama kweli kakopa ajalipa ajiandae KULIPA mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo arusha

Vyema nkatoaa tahadhari kuliko Kujaa kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu vyake na ubunge ashakosa

ALAFU aatangaze kutaka kuhamia CCM
HILOO alitawezekana

Wanachama WA chadema amtapenda kuona Mali xa kakayetu MPENDWA zikiuzwa sababu ya madeni

Namshauriii mapemaa hili asije akahisi kumalizia madeni yaliyopo kusubiri posho za bunge LA 2021 ataaibika kakangu
Atapita tu mapema ila labda kwa mwendo huu atapita kwa machozi,japo hatimaye atatangazwa mshindi
86970584_127583522124626_5032608563080462336_n.jpg
 
Kama kunaaaa wapinzanii wanasogezaa mdaa waooo WA lala salama n MH. godbless lema

Namshaurii MH Lena Yale manenoo yaa MH Spika kama kweli kakopa ajalipa ajiandae KULIPA mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo arusha

Vyema nkatoaa tahadhari kuliko Kujaa kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu vyake na ubunge ashakosa

ALAFU aatangaze kutaka kuhamia CCM
HILOO alitawezekana

Wanachama WA chadema amtapenda kuona Mali xa kakayetu MPENDWA zikiuzwa sababu ya madeni

Namshauriii mapemaa hili asije akahisi kumalizia madeni yaliyopo kusubiri posho za bunge LA 2021 ataaibika kakangu

Kwani Magufuli kamteua nani kuwa mbunge wa Arusha uchaguzi wa mwaka huu?
 
Back
Top Bottom