Godbless Lema akipata ubunge Arusha nahama nchi

Kama kuna wapinzani wanasogeza muda wao wa lala salama ni Mhe. Godbless Lema

Namshauri Mhe. Lema yale maneno ya Mhe. Spika kama kweli kakopa hajalipa ajiandae kulipa mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo Arusha

Vyema nikatoa tahadhari kuliko Kuja kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu vyake na ubunge ashakosa.

Halafu atangaze kutaka kuhamia CCM, hilo alitawezekana.

Wanachama wa CHADEMA amtapenda kuona Mali xa kaka yetu mpendawa zikiuzwa sababu ya madeni.

Namshauri mapema hili asije akahisi kumalizia madeni yaliyopo kusubiri posho za bunge la 2021 ataaibika kakangu.

Nooo...akikosa ndo uhame!
 
Arusha mjini hata magufuli akigombea saa sita mapemaa anacharazwa cc cyo watu wa singida ,dodoma na wazaramo wa pwani ,we katuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi niwashauri tu wakazi wa arusha, ikifika wakati wa uchaguzi mnatakiwa kuwawinda vibaka wote wa ccm ambao hawishi hapo, mkiwaona ni kupiga kebru mmoja baada ya mwingine, maana ni kawaida ya ccm kukusanya vijana wahuni ambao hawana kazi ili waende sehemu penye uchaguzi kuwasaidia kufisadi na kuiba kura, ni kuwapiga visu vya makalio mpaka watie adabu hao maboya.
 
Wewe pididy hata kuandika haujui, nenda kwenye mikeka huko. Mlitaka kusikia na yeye kafika dau. Sasa ukiama nchi una madhara gani?, Hata ukitaka kufa boya wewe.
 
Kama kuna wapinzani wanasogeza muda wao wa lala salama ni Mhe. Godbless Lema

Namshauri Mhe. Lema yale maneno ya Mhe. Spika kama kweli kakopa hajalipa ajiandae kulipa mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo Arusha

Vyema nikatoa tahadhari kuliko Kuja kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu vyake na ubunge ashakosa.

Halafu atangaze kutaka kuhamia CCM, hilo alitawezekana.

Wanachama wa CHADEMA amtapenda kuona Mali xa kaka yetu mpendawa zikiuzwa sababu ya madeni.

Namshauri mapema hili asije akahisi kumalizia madeni yaliyopo kusubiri posho za bunge la 2021 ataaibika kakangu.
KWA MAANA HIYO MKO TAYARI HATA KUUA WATU ILI LEMA ASIWE MBUNGE WA ARUSHA?
 
Lema anakubalika kwa wananchi na itakua hatari kuchakachua ushindi wake. Kama ilivyokuwa miaka ya nyuma msimu huu wapiga kura wanahasira ya kupitiliza na kura zao.
Weka akiba ya maneno mkuu.
Lema ametumia muda mwingi nje ya jimbo lake kitaifa zaidi na migogoro badala ya kuwekeza jimboni.
Lema ametengeneza uhasama sana na viongozi wa chama na nafasi za kiserikali jimboni kwake.

Lema sio kiongozi mbaya, ni muhamasishaji mzuri sana, kama angetumia hiki kipaji chake angehamasisha sana maendeleo jimboni kwake na mshikamano.

Kwanza ana bahati sana jimboni kwake kuna wanachama wengi wa CDM ambao wana uwezo mkubwa kiuchumi ambao wangeweza kuchangia sana miradi ya maendeleo jimboni kwake. Hakutumia hii nafasi vizuri.
Mwenyewe amesha lijua hili suala na ndio maana unamuona yupo makininmuda wote kule Hai, huenda ataenda kugombea huko Hai.
 
Mleta uzi kipindi cha nyuma kama ulikuwa una umri wa mkubwa kidogo na wa kujitambua,Lema alitenguluwa ubunge na mahakama ,kisa kumtolea lugha ya kashifa mama Batlida buruhan,achaguzi ukaludiwa,timu nzima ya CCM Taifa ilihamia Arusha,nakumbuka wananchi wa Arusha waliwaambia maccm, hata wakiweka jiwe na ligombee na CCM ,watachagua jiwe kuliko maccm,wananchi wa kasikazini waliwahi mapema kufikiwa na Elimu ,siyo wajinga kama wa kwenu.
 
Lema anakubalika kwa wananchi na itakua hatari kuchakachua ushindi wake. Kama ilivyokuwa miaka ya nyuma msimu huu wapiga kura wanahasira ya kupitiliza na kura zao.
Siasa za Arusha zimebadilika sana mkuu, Arusha ile ya 2010 sio hii ya sasa ya 2020.

Hakuna mtu ataandamana tena kama ilivyotokea kwa mwaka 2010.

Jamaa has lost ground kwenye gome zake nyingi pale mjini.
 
Kabla ya kuanza kupiga ramli mwambieni huyo mzalendo feki aandae uchaguzi huru na wa haki kabisa na wala sio ule upuuzi wa serikali za mitaa.
 
Kama kuna wapinzani wanasogeza muda wao wa lala salama ni Mhe. Godbless Lema

Namshauri Mhe. Lema yale maneno ya Mhe. Spika kama kweli kakopa hajalipa ajiandae kulipa mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo Arusha

Vyema nikatoa tahadhari kuliko Kuja kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu vyake na ubunge ashakosa.

Halafu atangaze kutaka kuhamia CCM, hilo alitawezekana.

Wanachama wa CHADEMA amtapenda kuona Mali xa kaka yetu mpendawa zikiuzwa sababu ya madeni.

Namshauri mapema hili asije akahisi kumalizia madeni yaliyopo kusubiri posho za bunge la 2021 ataaibika kakangu.
Sisi ndio wanaArusha, anza kutafuta nchi ya kuhamia.
 
SERK ZA MITAA.MMETIWA ADABU FYUUU
UBUNGE MTUWEZ TULIZENI NANIIZENUU
 
Sasa hapo mkuu, lazima tuangalie pia kama hatapita , hatapitaje? Kwakutochaguliwa na wananchi au kwa kutumia tume na polisi? Kama hatachaguliwa na wanachi kihalali kabisa na mimi nakuunga mkono, lakini kama ni kwakutumia nguvu , hapo hamna kitu, maana tunajua mkuu wa kaya alishawaambia au waonya wakurugenzi wasitangaze washindi kutika vyama vya upinzani, na pia tumeona uchaguzi wa serikali za mitaa ulivyokuwa , akina polepole na bashiri wanatenda dhambi ya uongo kwakusema eti walioeleka wanasheria nchi nzima kuwapa semina wagombea wa ccm jinsi ya kujaza fomu. Sijui ni nchi gani, maana huku kwetu hawakufika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wagombea wengine hata hizo Fomu za kuomba kuteuliwa hawakuziona ila walitangazwa tu kuwa wamepita bila kupingwa. Kwa kulazimisha na kutagazwa ushidi may be wataweza lakini kutakuwa hakuna mwakilishi wa wananchi atakuwepo tu kama Zombi fulani tu, Mikutano hatakuwa na uwezo wa kuitisha na akiitisha watahudhuria hao wanachama wao ambao nao watakapona mambo hayaendi nao wataogopa kwenda kwenye hiyo mikutano ref serikali za mitaa wanapata taabu sana.
 
Kama kuna wapinzani wanasogeza muda wao wa lala salama ni Mhe. Godbless Lema

Namshauri Mhe. Lema yale maneno ya Mhe. Spika kama kweli kakopa hajalipa ajiandae kulipa mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo Arusha

Vyema nikatoa tahadhari kuliko Kuja kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu vyake na ubunge ashakosa.

Halafu atangaze kutaka kuhamia CCM, hilo alitawezekana.

Wanachama wa CHADEMA amtapenda kuona Mali xa kaka yetu mpendawa zikiuzwa sababu ya madeni.

Namshauri mapema hili asije akahisi kumalizia madeni yaliyopo kusubiri posho za bunge la 2021 ataaibika kakangu.
Tuseme wenyeviti , madiwani, wabunge na Rais waewe 100% CCM 2020. Je itatuletea Paradiso Tz hii ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjiandaae kumlipiaa na mikopo yakee SISI tumetoa angalizo kumsaidiaa oooh
msiseme ajapewaa angalizo

CCM -ARUSHA KWANZA
2020
 
Mimi niwashauri tu wakazi wa arusha, ikifika wakati wa uchaguzi mnatakiwa kuwawinda vibaka wote wa ccm ambao hawishi hapo, mkiwaona ni kupiga kebru mmoja baada ya mwingine, maana ni kawaida ya ccm kukusanya vijana wahuni ambao hawana kazi ili waende sehemu penye uchaguzi kuwasaidia kufisadi na kuiba kura, ni kuwapiga visu vya makalio mpaka watie adabu hao maboya.

Mridishe kwanza Lema kwao Machame ndo uanze kuwaza kuwarudisha wengine.
 
Back
Top Bottom