mwakijembe
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,664
- 2,324
Kama kunaaaa wapinzanii wanasogezaa mdaa waooo WA lala salama n MH. godbless lema
Namshaurii MH Lena Yale manenoo yaa MH Spika kama kweli kakopa ajalipa ajiandae KULIPA mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo arusha
Vyema nkatoaa tahadhari kuliko Kujaa kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu vyake na ubunge ashakosa
ALAFU aatangaze kutaka kuhamia CCM
HILOO alitawezekana
Wanachama WA chadema amtapenda kuona Mali xa kakayetu MPENDWA zikiuzwa sababu ya madeni
Namshauriii mapemaa hili asije akahisi kumalizia madeni yaliyopo kusubiri posho za bunge LA 2021 ataaibika kakangu
Kuna uzi mwingine umeanzisha kwa id yako nyingine kumuhusu Lema kwamba kamuita mashunji mbwa. Naona uzi zako zote unatumia capital letters.