Godbless Lema alipotoa Utabiri Mahsusi kwa Awamu #6

Pole yaonekana hukulala kwa kutafuta cha kubumba ili kujipa faraja.
 
Pole yaonekana hukulala kwa kutafuta cha kubumba ili kujipa faraja.
 
Lema anapenda kutabiria wengine mabaya tu, ashindwe na alegee
Ukikalia kiti cha mamlaka tenda haki

Upo hapo kwa niaba ya mwenzi enzi na mamlaka kuu .

Lolote unalofanya moja kwa moja linamhusu.

Kwakuwa asili yake ni haki ukitenda udhalimu sio akakutoa hapo ulipo akamweka mwingine


Jinsi ya kukutoa anajua mwenyewe

Tutende haki kwani haki huliinua Taifa
 
Hivi Lema akiwa Rais kesho anaweza kugawa haki kwa Kila mtu?
Ni kama vile hujui usemalo au uulizalo...!!

By the way, na wewe je..? Huwezi..? Basi, kama ndivyo, HUFAI KUWA KIONGOZI and I plead to the Almighty God usije kuupata uongozi wa watu wa Mungu ktk maisha yako yote isipokuwa uongoze wale wa familia yako tu waliotoka viunoni mwako mpaka utakapoelewa ni nini maana ya kuwa KIONGOZI ndipo utoke nje ya familia yako..!!

AND HERE IS THE POINT;

Kwamba, ukiwa KIONGOZI popote pale hata wewe kwenye hiyo familia yako, kusimamia HAKI kwa kila mtu ktk territory yako ya uongozi iwe ni familia, jumuiya au nchi, that's not an OPTION but it is a MUST and the first OBLIGATION...!!

Take this into your head brain...
 

Mjumbe ana kale ka unyani:
 

Attachments

  • HNc6P_4iKJsL-dRs.mp4
    1.3 MB
Afadhalu huyo aliyekuwa anaiba magari kuliko wewe uliyekuwa unaiba kuku huko kijijini kwenu
 
Anachokosea ni kutaka kutuaminisha kwamba kifo ni adhabu.

Kifo sio adhabu kwa sababu mwema na muovu atapita hapo,ni ujinga kuamini tabiri kama hizi za akina lema na wengineo.

Magufuli kafa na miaka zaidi ya 60 ameshaishi maisha marefu,hata mama samia kwa umri aliokuwa nao ameshaishi maisha marefu hivyo kazipata baraka za Muumba vizuri
 

Ulisoma mada mjomba?

Unapokosea wewe ni kushindwa kutambua kuwa kuishi maisha marefu ni mbaraka kutokea kwa Mola.

Kwa maana kuwa ni heri ya kufa kesho kuliko kufa leo.

Hali kadhalika kuishi zaidi au hapana ni uamuzi wa mola.

Tendeni wema mola kaahidi atawakirimu maisha zaidi vinginevyo kwa maovu asilaumiwe dobi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…