Ni kama vile hujui usemalo au uulizalo...!!
By the way, na wewe je..? Huwezi..? Basi, kama ndivyo, HUFAI KUWA KIONGOZI and I plead to the Almighty God usije kuupata uongozi wa watu wa Mungu ktk maisha yako yote isipokuwa uongoze wale wa familia yako tu waliotoka viunoni mwako mpaka utakapoelewa ni nini maana ya kuwa KIONGOZI ndipo utoke nje ya familia yako..!!
AND HERE IS THE POINT;
Kwamba, ukiwa KIONGOZI popote pale hata wewe kwenye hiyo familia yako, kusimamia HAKI kwa kila mtu ktk territory yako ya uongozi iwe ni familia, jumuiya au nchi, that's not an OPTION but it is a MUST and the first OBLIGATION...!!
Take this into your head brain...