ccm ni wapumbavu toka lini sare za polisi tanzania zikawa na crown nyeusi hivyo au jinsi mlivyo wapumbavu huko lumumba mnatuona wote ni machoko kama mlivyo.Baada ya kufanya aliyoyafanya na kukimbilia Nchini Kenya John Pambalu alikumbuka na Kurudi nyumbani akijua kuwa Vyombo vya Ulinzi na usalama vitakua vimesahau mara baada ya kuwasili nchini akitumia mpaka wa Namanga vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia chanzo kilichopo ndani ya CHADEMA kiliambiwa kuwa Pambalu anatarajia kukinukisha Arusha.
Taarifa hizo zilikua na msaada mkubwa wa kumkamata mtu ayeisababishia harasa nchi kwa kuratibu kuchoma mali za watu na miundombinu.
Nikupongeze ndugu Godbless Lema kwa kufanya kazi ya kizalendo
View attachment 3696231
Lema hawezi fanya upumbavu huo. CCM hamuwezi kuipasua CHADEMA kwa tumbinu twenu dhaifuBaada ya kufanya aliyoyafanya na kukimbilia Nchini Kenya John Pambalu alikumbuka na Kurudi nyumbani akijua kuwa Vyombo vya Ulinzi na usalama vitakua vimesahau mara baada ya kuwasili nchini akitumia mpaka wa Namanga vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia chanzo kilichopo ndani ya CHADEMA kiliambiwa kuwa Pambalu anatarajia kukinukisha Arusha.
Taarifa hizo zilikua na msaada mkubwa wa kumkamata mtu ayeisababishia harasa nchi kwa kuratibu kuchoma mali za watu na miundombinu.
Nikupongeze ndugu Godbless Lema kwa kufanya kazi ya kizalendo
View attachment 3696231
Mimi ni mwanadamu, sujawahi kuwa chawa.Chawa wake una kazi sana ya kumtetea
🚮Baada ya kufanya aliyoyafanya na kukimbilia Nchini Kenya John Pambalu alikumbuka na Kurudi nyumbani akijua kuwa Vyombo vya Ulinzi na usalama vitakua vimesahau mara baada ya kuwasili nchini akitumia mpaka wa Namanga vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia chanzo kilichopo ndani ya CHADEMA kiliambiwa kuwa Pambalu anatarajia kukinukisha Arusha.
Taarifa hizo zilikua na msaada mkubwa wa kumkamata mtu ayeisababishia harasa nchi kwa kuratibu kuchoma mali za watu na miundombinu.
Nikupongeze ndugu Godbless Lema kwa kufanya kazi ya kizalendo
View attachment 3696231
Dogo,Amka wewe
Siwezi kukuita wewe "chawa" hata siku moja, lakini leo nashangaa ni kama mmepishana viti na huyo unayejibishana naye.Mimi ni mwanadamu, sujawahi kuwa chawa.
Nimeumbwa kwa mfano halisi wa Mungu
Hili linaeleweka, sasa tueleze mbadala wake ni nini. Watu wakae tu watulie kwa vile kuna maslahi ya wakubwa?Hata Mange, USA anaweza tu kuendelea kuwa salama kama bado kuna maslahi Fulani Fulani USA inanufaika mahala dhidi ya harakati zake...kifupi anatumika kama bargain chip dhidi ya maslahi ya USA Tanzania....na siku CIA watakapoona hana msaada wanaweza kumdump mapema asubuhi au hata kumtoa sadaka kwa Tanzania ili wapate kile wakitakacho.
Hii uliyoonyesha hapa kwa maandishi, ndiyo "akili kubwa"!Unahitaji utulivu na akili kubwa kuielewa dunia kabla hujawa mbuzi wa kafara.