Godbless Lema amtakia safari njema Dotto Biteko Wizara ya Madini

Godbless Lema amtakia safari njema Dotto Biteko Wizara ya Madini

Aliyekua mbunge machachari na mwanasiasa mwenye maono Godbless Lema amemtakia safari njema Dotto Biteko.

Lema ni moja watu wenye maono makubwa sana kwenye nchi hii, binafsi ninamkubali sana Lema hasa pale alipoamua kulivingirisha jiwe.

Lema amemwambia Dotto Biteko kuwa zamu yako imefika, wewe unafikiri ni kijana wao? Hivyo huenda yale ya Tanzanite kuibiwa ikawa namna ya sababu.

Hata hivyo Biteko sikuona Kama ni mtendaji mzuri kihivyo.

Sijui nani atarithi hii nafasi ya Biteko, au labda mrithi anaweza kutoka mtama.

Pole Biteko, Ila kwa heri.

mrithi nahisi riziwan
 
Usisahau Jenerali Ulimwengu mnayemsujudu hapa kila siku ni Mrwanda pia na alikuwa mpaka Mkuu wa Wilaya, Familia ya Mwalimu Nyerere ilitokea Rwanda pia sasa sijui laana yako ianzie awamu ipi?

biteko ni msukuma 100%
 
Biteko ataendela kuwepo sana tu! Yaani Huyu mama kama atakurupuka tena kama alivokurupuka kumtoa Kalemani nishati shauri yake! Watu wanachuki na Magufuli na watu wake! Inamaan waziri haruhusiwi kufanya biashara ya madini!

Ndo maana mnaambulia kutoa mawaziri kwa mihemuko ma chuki mnaweka mazuzu! Hivi suala hata la umeme nchi nzima athari yake ni kubwa sana!
Wewe unaongea usichokijua. Huyu Dotto ni corrupt. Rushwa anazokula kwa sasa ni kama mtu aliyekata tamaa ya kuendelea kuwa waziri, na sasa anachotafuta ni utajiri ili aanze maisha mapya.
 
Aligombea ubunge Jimbo la busanda, akashinda. Jiwe akamkata kwa kusema haiwezekani kulwa na Dotto wawe wabunge tena kwa majimbo mawili ya karibu.
Huyo jamaa akatoka huko akakurupuka bila kushirikisha medula kuwa kulwa yupo bungeni
Hiyo haikuwa sababu ya kukatwa. Aligawa rushwa kubwa kupindukia kwa wajumbe wote. Na hela alisaidiwa na kaka yake ambaye alichangiwa na wachimbaji wa madini.

Dotto siyo kwamba anaonewa, lakini ni corrupt hasa. Siku akiondolewa, ikaundwe tume, majibu yatakayotoka hamtaamini!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba hujawahi hata hapo Kenya ukaona Afisa Uhamiaji kutoka Tanzania.. kama bado siyo Issue sana.. unaweza kufanya utafiti pia..

Sent using Jamii Forums mobile app

tena kenya hawana upuuzi wa ubaguzi mkuu wa polisi alikuwa msomali mwanasheria mkuu wa kenya msomali mkuu wa majeshi kipindi cha moi msomali waziri wa utalii mwarabu kutoka mombasa waziri wa nchi za nje amina mohamed kama sikosei alikuwa msomali tanzania kubaguana tuu halafu mnaomba mvua
 
Biteko ni mmoja wa waliogonga cheers baada ya jiwe kuanguka.
Walikua hata haziivi, lakini hakujua ajaye pengine zinaweza zisiive kabisa
Ni kwa kiasi gani huyu mtu ni mpenda rushwa na utajiri, na alivyo na upendeleo kwa watusi wenzake imekuja kudhihirika baada ya kifo cha Magufuli. Huyu mtu anatakiwa kuondolewa haraka sana.
 
Biteko ataendela kuwepo sana tu! Yaani Huyu mama kama atakurupuka tena kama alivokurupuka kumtoa Kalemani nishati shauri yake! Watu wanachuki na Magufuli na watu wake! Inamaan waziri haruhusiwi kufanya biashara ya madini!

Ndo maana mnaambulia kutoa mawaziri kwa mihemuko ma chuki mnaweka mazuzu! Hivi suala hata la umeme nchi nzima athari yake ni kubwa sana!
Hata kama ni mtusi,, kwani watusi sio watu?, Mwacheni doto achape kazi banah,,,, tulichelewa sana, [emoji847]
 
tena kenya hawana upuuzi wa ubaguzi mkuu wa polisi alikuwa msomali mwanasheria mkuu wa kenya msomali mkuu wa majeshi kipindi cha moi msomali waziri wa utalii mwarabu kutoka mombasa waziri wa nchi za nje amina mohamed kama sikosei alikuwa msomali tanzania kubaguana tuu halafu mnaomba mvua
Kwana Bashe ana bahati sana,,, na atabaki naibu mpaka mwisho wadunia,, uwaziri kamili hawezi pewa, shyrose bhanji si mliona alifukuzwa ubunge, seleman chambis nae kiko wapi?, Salumu mbuzi nae ubunge walipiga chini[emoji23][emoji23]
 
Aliyekua mbunge machachari na mwanasiasa mwenye maono Godbless Lema amemtakia safari njema Dotto Biteko.

Lema ni moja watu wenye maono makubwa sana kwenye nchi hii, binafsi ninamkubali sana Lema hasa pale alipoamua kulivingirisha jiwe.

Lema amemwambia Dotto Biteko kuwa zamu yako imefika, wewe unafikiri ni kijana wao? Hivyo huenda yale ya Tanzanite kuibiwa ikawa namna ya sababu.

Hata hivyo Biteko sikuona Kama ni mtendaji mzuri kihivyo.

Sijui nani atarithi hii nafasi ya Biteko, au labda mrithi anaweza kutoka mtama.

Pole Biteko, Ila kwa heri.

Huyu atakuwa Mhutu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom