Godbless Lema amtakia safari njema Dotto Biteko Wizara ya Madini

Godbless Lema amtakia safari njema Dotto Biteko Wizara ya Madini

Lema asiipangie mamlaka ya uteuzi.
Huu ubaguzi wenu acheni. Sumu mnayoisambaza mkidhani inafaida it will hit you back. Nachukizwa mno na watu wanaoeneza ubaguzi nchini.
Muhasisi wa ubaguzi ni yule shetani wa chato, sisi tunachofanya ni kumuenzi tu, ubaya wetu ni nini?
 
Usisahau Jenerali Ulimwengu mnayemsujudu hapa kila siku ni Mrwanda pia na alikuwa mpaka Mkuu wa Wilaya, Familia ya Mwalimu Nyerere ilitokea Rwanda pia sasa sijui laana yako ianzie awamu ipi?

Hata Raisi wako Samia alienda kwa Kagame kuripoti mpaka Mkuu wa Majeshi ya JMTZ Mabeyo na Mkuu wa Jeshi la Polisi chini ya Samia wote walienda kuripoti kwa Kagame na hata Uraisi wa Samia unalindwa na Kagame kama ulikuwa haujui, …
Kuropoka JF rahisi sana, hivi wewe ukidakwa uambiwe udhibitishe hayo uliyoongea utaweza kudhibitisha? Kuna Shida mnamtafutia Melo ambazo ni unnecessary
 
Kuropoka JF rahisi sana, hivi wewe ukidakwa uambiwe udhibitishe hayo uliyoongea utaweza kudhibitisha? Kuna Shida mnamtafutia Melo ambazo ni unnecessary
Acha kutisha watu mjinga wewe, wengine wanaandika hizi post wakiwa ikulu, wengine North Korea, wengine Marekani.

Mbona hamkumdaka kigogo na sasa ndio vuvuzela la chama chetu na serikali yetu sikivu?
 
Wewe mpumbavu unaunafiki mwingi sana! Hao mnaowasema akina Zungu si wanaasili ya kiarabu na Bashe anaasili ya Kisomali hii nchi sio henu niyawote! Huo wizi wa Tanzanite ni uzembe uliosababishwa na utawala wa huyu mamayenu! Unafikiri waziri awe anakaa getini analinda watu wasiibe! Tena nyinyi watu wa kaskazini ni majambazi sana mmeona utawala wa mama mnaiba Tanzanite halafu mnapeleka lawama kwa waziri! Tunajua mnachuki sana na watu wa kanda ya ziwa!
Hahaha kwa Biteko waziri hakai magetini!!!!! Kwa January mnataka aende mawinguni akashushe mvua!!! Hakuna watu wanafiki kama wafuasi wa Marehemu
 
Acha kutisha watu mjinga wewe, wengine wanaandika hizi post wakiwa ikulu, wengine North Korea, wengine Marekani.

Mbona hamkumdaka kigogo na sasa ndio vuvuzela la chama chetu na serikali yetu sikivu?
Mtu wa ikulu hawezi andika upuuzi kama huo
 
Sasa huyo wa kunibana mimi ndio kwamba siku hizi Uhamiaji wa kwetu wanafanyakazi Zimbabwe?[emoji1][emoji1]
Mimi niliyesema anafanya Uhamiaji Zimbabwe na Wewe uliyesema yupo Mjengoni wote ni wale wale... tena afadhali aliyesema anafanya Uhamiaji Zambabwe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayesa Doto na Kulwa ni BAHIMA,akawaulize watu wa kijiji cha Nyaruyeye kama ni kweli au hakuwahi kumsikia mbuge wa zamani wa Busanda aliyeitwa Kabuzi
 
Hilo mjiulize ninyi msiolewa, Boss wa Samia ni Paul Kagame na Uhuru Kenyata na wamemuhakikishia ulinzi, …
Wanamlindaje mkuu?mbona hujielewi?kwa hiyo na urais huu wamempa wao?basi nchi yetu haina vyombo vya ulinzi na usalama.
 
Aliyekua mbunge machachari na mwanasiasa mwenye maono Godbless Lema amemtakia safari njema Dotto Biteko.
Lema ni moja watu wenye maono makubwa sana kwenye nchi hii, binafsi ninamkubali sana Lema hasa pale alipoamua kulivingirisha jiwe.
Lema amemwambia Dotto Biteko kuwa zamu yako imefika, wewe unafikiri ni kijana wao? Hivyo huenda yale ya Tanzanite kuibiwa ikawa namna ya sababu.
Hata hivyo Biteko sikuona Kama ni mtendaji mzuri kihivyoo.
Sijui nani atarithi hii nafasi ya Biteko, au labda mrithi anaweza kutoka mtama.
Pole Biteko, Ila kwa heri
View attachment 2017279
Sukuma Kingdom is going down slowly and nicely
 
Back
Top Bottom