Godbless Lema amtakia safari njema Dotto Biteko Wizara ya Madini

Godbless Lema amtakia safari njema Dotto Biteko Wizara ya Madini

Huyo Matola nakwambia ni mpumnavu na hana akili Kulwa Biteko alikatwa na hakugombea ubunge! Anapozungumzia Kulwa Biteko na mambo ya bungeni ndo anaonekana kwanza ni mtu asiye na taarifa sahihi!,sio mfatiriaji wa mambo!,anaendeshwa na mihemko na ni mpumbavu sana.
Nimeshakwambia mpumbavu ni Baba yako mzazi.

3005533_Screenshot_20211119-100145_1.jpg
 
Aliyekua mbunge machachari na mwanasiasa mwenye maono Godbless Lema amemtakia safari njema Dotto Biteko.
Lema ni moja watu wenye maono makubwa sana kwenye nchi hii, binafsi ninamkubali sana Lema hasa pale alipoamua kulivingirisha jiwe.
Lema amemwambia Dotto Biteko kuwa zamu yako imefika, wewe unafikiri ni kijana wao? Hivyo huenda yale ya Tanzanite kuibiwa ikawa namna ya sababu.
Hata hivyo Biteko sikuona Kama ni mtendaji mzuri kihivyoo.
Sijui nani atarithi hii nafasi ya Biteko, au labda mrithi anaweza kutoka mtama.
Pole Biteko, Ila kwa heri
View attachment 2017279

Siku hizi kama mpolee kama maji ya mtungi.

Huyu ni wa kukagua uraia pia anaweza kuwa na uraia pacha 😁😁!
 
Biteko na Mnyeti walikuwa wana miliki njia za chini kwa chini za kuvusha madini kule Mererani ili kukwepa surveillance ya ukuta.

Hata kipindi Magufuli amekufa lakini hajatangazwa wao ndiyo walikuwa wanataka kujimilikisha kitalu C pale Mererani.

Wamechelewa sana kumtoa UWAZIRI
None sense.
 
Mkuu,

Samahani naomba nikupe complimentary

Una busara sana! familia yako pamoja na marafiki

zako hawana budi kushukru kuwa na mtu kama

wewe katika maisha yao ya kila siku.

Asante!
Ahsante
 
Wewe mpumbavu unaunafiki mwingi sana! Hao mnaowasema akina Zungu si wanaasili ya kiarabu na Bashe anaasili ya Kisomali hii nchi sio henu niyawote! Huo wizi wa Tanzanite ni uzembe uliosababishwa na utawala wa huyu mamayenu! Unafikiri waziri awe anakaa getini analinda watu wasiibe! Tena nyinyi watu wa kaskazini ni majambazi sana mmeona utawala wa mama mnaiba Tanzanite halafu mnapeleka lawama kwa waziri! Tunajua mnachuki sana na watu wa kanda ya ziwa!
Wewe unaonekana sio mtanzania kabisa sio kwa hasira hizi
 
Aliyekua mbunge machachari na mwanasiasa mwenye maono Godbless Lema amemtakia safari njema Dotto Biteko.
Lema ni moja watu wenye maono makubwa sana kwenye nchi hii, binafsi ninamkubali sana Lema hasa pale alipoamua kulivingirisha jiwe.
Lema amemwambia Dotto Biteko kuwa zamu yako imefika, wewe unafikiri ni kijana wao? Hivyo huenda yale ya Tanzanite kuibiwa ikawa namna ya sababu.
Hata hivyo Biteko sikuona Kama ni mtendaji mzuri kihivyoo.
Sijui nani atarithi hii nafasi ya Biteko, au labda mrithi anaweza kutoka mtama.
Pole Biteko, Ila kwa heri
View attachment 2017279
Lema asiipangie mamlaka ya uteuzi.
Huyu jamaa ni Bahima kabisa
Huu ubaguzi wenu acheni. Sumu mnayoisambaza mkidhani inafaida it will hit you back. Nachukizwa mno na watu wanaoeneza ubaguzi nchini.
 
Walinogewa wakaona nchi ni mali yao, imagine mpaka pacha wake Kulwa Biteko naye yupo mjengoni.

Magufuli alaaniwe shetani kabisa
Pacha hakupata ubunge walimla kichwa,alikua anagombea jimbo la busanda
 
Akikujibu unistuwe, nilikuwa sijui kama Uhamiaji wetu wanafanyakazi mpaka nje ya Tanzania.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba hujawahi hata hapo Kenya ukaona Afisa Uhamiaji kutoka Tanzania.. kama bado siyo Issue sana.. unaweza kufanya utafiti pia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui walimpate wizara vyeti mtusi kabisa huyu yaan nchi hii walipewa wageni ilaaniwe awamu ya tano
huyo mtu ana asili ya watusi lakini kazaliwa Tanzania na kusomea hapa hapa,kama tatizo ni asili yake sawa ila mbona hata wale wamakonde wa Mtwara nao ni wa Msumbiji? au wale ndugu zetu wa Mara wale Wajaruo nao ni wa-Kenya?
tusibaguane kwa asili zetu,tutakua tunapanda mbegu ya ubaguzi na matunda yake tutayala wote
 
Back
Top Bottom