Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Uongo uko wapi hapo? Sikufuatilia tu kama alikatwa jina kwa sababu hakukuwa na uchaguzi 2020 basi aliyeshinda kura za maoni alikuwa tayari ni mbunge.Umesema uongo
Kulwa Biteko alishinda kura za maoni Jimbo la busanda, akakatwa sababu ilikuwa ni haiwezekani kulwa na doto wakawa wabunge kwenye majimbo mawili tena ya karibu. Nafasi yake ikachukuliwa na tumaini magessa
Umemeza sumu mbaya, vingine kubali vikupite
Ila ukweli unasimama pale pale hawana haya.