mdude typeHiv mtu anayemtukana kiongozi wa nchi si anakua tayar ameshajiandaa kwa lolote ama?...hata wazaz huwa wanawakanya watoto wao..wazaz huwa wanajua huyu mtoto wetu anahatarisha maisha yake hata mkewe anakua anafaham hilo.so huwa wanajiandaa kwa lolote..si gafla tu..so nauhakika..wazaz walijiandaa kwa lolote...kwahyo ukivaa viatu vyao ni inakua kama hvyo..walijua mwisho si mzur.....hii ni africa..huwez tukana tu watu wanakuangalia..tatzo mnajisahau sana kufikir mko ulaya au marekani kwenye uhuru huo...hapa ni africa jaman..huwez tus watu ..hata mtaan huwez tukana watu hovyo
anatuuzi wanaume yaani kapunguza idadi ya wanaume kuolewa siyo kitu kizuri wewe unajuwa fika usiku inakuwaje hata kama umechoka jamaa akihitaji chakula yakeHii inahusiana vipi na mada?
Mwambieni aache kulelewa na wanaume kwanza! Badala yake yeye awe mwanaume halisi aje hapa nchini aoiganie hayo akiwa hapa nchini kwake,
Hii inahusiana vipi na mada?
Hivi una habari kuwa kuna Watz lukuki nje ya nchi zaidi ya Mh Lema?? Mf Yusuf Manji .Mwambieni aache kulelewa na wanaume kwanza! Badala yake yeye awe mwanaume halisi aje hapa nchini aoiganie hayo akiwa hapa nchini kwake,
Shida yako ni moja tu!..
Kupenda kusikia unachopenda kusikia tu basi!
Hiv mtu anayemtukana kiongozi wa nchi si anakua tayar ameshajiandaa kwa lolote ama?...hata wazaz huwa wanawakanya watoto wao..wazaz huwa wanajua huyu mtoto wetu anahatarisha maisha yake hata mkewe anakua anafaham hilo.so huwa wanajiandaa kwa lolote..si gafla tu..so nauhakika..wazaz walijiandaa kwa lolote...kwahyo ukivaa viatu vyao ni inakua kama hvyo..walijua mwisho si mzur.....hii ni africa..huwez tukana tu watu wanakuangalia..tatzo mnajisahau sana kufikir mko ulaya au marekani kwenye uhuru huo...hapa ni africa jaman..huwez tus watu ..hata mtaan huwez tukana watu hovyo
Tunataka kujua pia ni Maabara gani yaliyothibitisha makamasi ya kondoo na utomvu wa mapapai kuwa na corona?Tunataka kujua taarifa ya kifo cha Magufuli kina Tundu lisu na huyu lema walikuwaga wanazipatia wapi kabla hatujatangaziwa? Na huyu lema aliwahi kutabiri kifo cha jpm tulitaka ahojiwe vizuri atakuwa anajua chanzo cha kifo chake
siyo kweli ni mbowe kisa uenyekiti wa chadema taifa
Kha! Sasa ujinga uko wapi, wao kama wanatetea wanasiaaa wewe tetea madaktari. Huko kulazimisha watu wafuate mawazo yako ndio ujinga zaidi.MI nataka tujue Ulimboka alitekwa na akina nani? Tusitetee wanasiasa tu, ni Ujinga!
alikuwa anataka waje kwakuwa alijuwa hawatakuja sasa tuambie ni nini kinamfanya lissu asije na dreva wake wafungue jalada upelelezi ufanyike?utapelelezaje kesi shahidi wa kwanza umemtorosha dreva anajuwa kila kitu na ndiye aliyechonga hilo diliEndelea kujitoa ufahamu...Mbowe ndio aliyeondoa ulinzi kwenye makazi ya viongozi hapo Dodoma ehee? Mbowe ndiyo aliyeoondoa CCTV camera/Footage kwenye jengo la waziri au siyo?
Mbowe alivyotaka Scotland Yard waje kufanya uchunguzi na yeye huyo huyo ndio akazuia wasije au siyo?
alikuwa anataka waje kwakuwa alijuwa hawatakuja sasa tuambie ni nini kinamfanya lissu asije na dreva wake wafungue jalada upelelezi ufanyike?utapelelezaje kesi shahidi wa kwanza umemtorosha dreva anajuwa kila kitu na ndiye aliyechonga hilo dili
endelea kula mtori nyama utazikuta chiniWeka nyama Mkuu, Au nisubiri kwanza? Maana nishawah siti ya mbele na sandalusi ya popcorn na juice ya AZAM EMBE
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Aiseeee !!!RIP Ben
Umeandika hoja duni sana !Umesahau na tukio lile la Ajali iliyotoa uhai wa Chacha Wangwe pamoja na tukio la Mhesh yule kuteleza kwenye ngazi hadi kuumia mguu
Achunguze pia kwanini Mwenyekiti wa Chama anakuwa wa kudumu
"All animals are equal but some animals are more equal than others"Hiv mtu anayemtukana kiongozi wa nchi si anakua tayar ameshajiandaa kwa lolote ama?...hata wazaz huwa wanawakanya watoto wao..wazaz huwa wanajua huyu mtoto wetu anahatarisha maisha yake hata mkewe anakua anafaham hilo.so huwa wanajiandaa kwa lolote..si gafla tu..so nauhakika..wazaz walijiandaa kwa lolote...kwahyo ukivaa viatu vyao ni inakua kama hvyo..walijua mwisho si mzur.....hii ni africa..huwez tukana tu watu wanakuangalia..tatzo mnajisahau sana kufikir mko ulaya au marekani kwenye uhuru huo...hapa ni africa jaman..huwez tus watu ..hata mtaan huwez tukana watu hovyo