Godbless Lema amuomba Rais Samia kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Tundu Lissu

Hiv mtu anayemtukana kiongozi wa nchi si anakua tayar ameshajiandaa kwa lolote ama?...hata wazaz huwa wanawakanya watoto wao..wazaz huwa wanajua huyu mtoto wetu anahatarisha maisha yake hata mkewe anakua anafaham hilo.so huwa wanajiandaa kwa lolote..si gafla tu..so nauhakika..wazaz walijiandaa kwa lolote...kwahyo ukivaa viatu vyao ni inakua kama hvyo..walijua mwisho si mzur.....hii ni africa..huwez tukana tu watu wanakuangalia..tatzo mnajisahau sana kufikir mko ulaya au marekani kwenye uhuru huo...hapa ni africa jaman..huwez tus watu ..hata mtaan huwez tukana watu hovyo
mdude type
 
Mwambieni aache kulelewa na wanaume kwanza! Badala yake yeye awe mwanaume halisi aje hapa nchini aoiganie hayo akiwa hapa nchini kwake,
Hivi una habari kuwa kuna Watz lukuki nje ya nchi zaidi ya Mh Lema?? Mf Yusuf Manji .

Maneno ya kejeli na siasa za maji taka tulishayazika na mwendazake.
 
taja hayo matusi we nguchiro
Hiv mtu anayemtukana kiongozi wa nchi si anakua tayar ameshajiandaa kwa lolote ama?...hata wazaz huwa wanawakanya watoto wao..wazaz huwa wanajua huyu mtoto wetu anahatarisha maisha yake hata mkewe anakua anafaham hilo.so huwa wanajiandaa kwa lolote..si gafla tu..so nauhakika..wazaz walijiandaa kwa lolote...kwahyo ukivaa viatu vyao ni inakua kama hvyo..walijua mwisho si mzur.....hii ni africa..huwez tukana tu watu wanakuangalia..tatzo mnajisahau sana kufikir mko ulaya au marekani kwenye uhuru huo...hapa ni africa jaman..huwez tus watu ..hata mtaan huwez tukana watu hovyo
 
Tunataka kujua taarifa ya kifo cha Magufuli kina Tundu lisu na huyu lema walikuwaga wanazipatia wapi kabla hatujatangaziwa? Na huyu lema aliwahi kutabiri kifo cha jpm tulitaka ahojiwe vizuri atakuwa anajua chanzo cha kifo chake
Tunataka kujua pia ni Maabara gani yaliyothibitisha makamasi ya kondoo na utomvu wa mapapai kuwa na corona?

Tuataka pia kufahamu kwanini wakati wa mwendazake ni nani aliyemshauri kuachana na uvaaji wa barakoa kwa Watendaji Wakuu wa Serikali akiwemo yy mwenyewe? Na kwa sasa nani kamshauri SASHA kuvaa barakoa yeye pamoja na Watendaji wengine wa Serikali?
 
siyo kweli ni mbowe kisa uenyekiti wa chadema taifa

Endelea kujitoa ufahamu...Mbowe ndio aliyeondoa ulinzi kwenye makazi ya viongozi hapo Dodoma ehee? Mbowe ndiyo aliyeoondoa CCTV camera/Footage kwenye jengo la waziri au siyo?

Mbowe alivyotaka Scotland Yard waje kufanya uchunguzi na yeye huyo huyo ndio akazuia wasije au siyo?
 
MI nataka tujue Ulimboka alitekwa na akina nani? Tusitetee wanasiasa tu, ni Ujinga!
Kha! Sasa ujinga uko wapi, wao kama wanatetea wanasiaaa wewe tetea madaktari. Huko kulazimisha watu wafuate mawazo yako ndio ujinga zaidi.
 
Endelea kujitoa ufahamu...Mbowe ndio aliyeondoa ulinzi kwenye makazi ya viongozi hapo Dodoma ehee? Mbowe ndiyo aliyeoondoa CCTV camera/Footage kwenye jengo la waziri au siyo?

Mbowe alivyotaka Scotland Yard waje kufanya uchunguzi na yeye huyo huyo ndio akazuia wasije au siyo?
alikuwa anataka waje kwakuwa alijuwa hawatakuja sasa tuambie ni nini kinamfanya lissu asije na dreva wake wafungue jalada upelelezi ufanyike?utapelelezaje kesi shahidi wa kwanza umemtorosha dreva anajuwa kila kitu na ndiye aliyechonga hilo dili
 
Empty set yaani upelelezi mnamsubiri dereva wa lissu aje? Yaani hata kuanza hamjaanza mmtaka dereva wa lissu seriously?? Ipo siku unknown assailants watajulikana tu.
 
Umesahau na tukio lile la Ajali iliyotoa uhai wa Chacha Wangwe pamoja na tukio la Mhesh yule kuteleza kwenye ngazi hadi kuumia mguu
Achunguze pia kwanini Mwenyekiti wa Chama anakuwa wa kudumu
 
Hiv mtu anayemtukana kiongozi wa nchi si anakua tayar ameshajiandaa kwa lolote ama?...hata wazaz huwa wanawakanya watoto wao..wazaz huwa wanajua huyu mtoto wetu anahatarisha maisha yake hata mkewe anakua anafaham hilo.so huwa wanajiandaa kwa lolote..si gafla tu..so nauhakika..wazaz walijiandaa kwa lolote...kwahyo ukivaa viatu vyao ni inakua kama hvyo..walijua mwisho si mzur.....hii ni africa..huwez tukana tu watu wanakuangalia..tatzo mnajisahau sana kufikir mko ulaya au marekani kwenye uhuru huo...hapa ni africa jaman..huwez tus watu ..hata mtaan huwez tukana watu hovyo
"All animals are equal but some animals are more equal than others"
 
Back
Top Bottom