Mtu mwenye akili timamu Katu hawezi tamani kwenda ikulu.Maisha ya mwanadamu si zaidi ya kula na kunywa.Ni maisha magumu sana kama mfungwa huna uhuruIkulu ni mzigo - Nyerere
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mwenye akili timamu Katu hawezi tamani kwenda ikulu.Maisha ya mwanadamu si zaidi ya kula na kunywa.Ni maisha magumu sana kama mfungwa huna uhuruIkulu ni mzigo - Nyerere
Wakikwambia unitag! Ahahahahaha!Wamehamia whatsapp kutangaza matokeo ya uchunguzi wa Sabaya. Nimeomba watueleze na kifo cha Wangwe nani mhusika?
Kwani itakuwaje ukijikita kwenye hoja wewe mala.......?Mwambieni aache kulelewa na wanaume kwanza! Badala yake yeye awe mwanaume halisi aje hapa nchini aoiganie hayo akiwa hapa nchini kwake,
Lema anataka kumchomesha mwendazake?Pia ametoa dondoo za mahali pa kuanzia, ambapo aliyekuwa RPC wa Dodoma Murroto, Mbunge wa CCM Alexander Mnyeti, Paulo Makonda na Askofu Gwajima wametajwa kuweza kusaidia uchunguzi.
Ushabiki wenu wa kitoto sana! Anaye takiwa kutoa taarifa ya kifo cha Wangwe au mtu yeyote hapa Tanzania, ni serikali iliyo madarakani!!Wakikwambia unitag! Ahahahahaha!
Na wewe kwa muda wako muombe Rais Samia achunguze kama alivyofanya LemaMi nataka tujue Ulimboka alitekwa na akina nani? Changanya na Wangwe aliuwawa na nani? Tusitetee wanasiasa tu, ni Ujinga!
Hutaki tujue Wangwe alikufaje?Jikite kwenye mada
Umeumiaeeh! Kunywa maji kidogo. Yanasaidia sana hasa kwenye ulichopo!!!Ushabiki wenu wa kitoto sana! Anaye takiwa kutoa taarifa ya kifo cha Wangwe au mtu yeyote hapa Tanzania, ni serikali iliyo madarakani!!
Kama dhana yenu, kwamba wapinzani wamemuua Chacha Wangwe au mtu mwingine yeyote, ni kweli basi tutakuwa tuna serikali ya hovyo sana! Kama mpaka matutusa, wasioweza hata kupangilia hoja zao hapa jukwaani, wanawajua wauaji wa ndugu zetu, afu serikali isijuwe au inyamaze tu!!!!!! Mnaidhalilisha sana serikali, ccm na nafsi zenu wenyewe!
Kwenye kamati za chama chao waliwahi kugusia kuomba kwa mamlaka kufanya uchunguzi wa kina wa ajali ya the late Mohamed Mtoi!? Vipi kuhusu kuondokewa na aliyekuwa makamu mwenyekiti...the late Chacha Wangwe!?Doh! God bless is always blessed
Kuna jambo kubwa linakuja , sasa hizi anazofanya Lema ni Protocol
Mmejibiwa Sana leteni wachunguzi wa kimataifa hamsikiiWakikwambia unitag! Ahahahahaha!
Sasa naumizwaje na mtu kama Wewe! Mnajizalilisha wenyewe tu na ujinga wenu!Umeumiaeeh! Kunywa maji kidogo. Yanasaidia sana hasa kwenye ulichopo!!!
Kwenye kamati za chama chao waliwahi kugusia kuomba kwa mamlaka kufanya uchunguzi wa kina wa ajali ya the late Mohamed Mtoi!? Vipi kuhusu kuondokewa na aliyekuwa makamu mwenyekiti...the late Chacha Wangwe!?
====
Ni katika kuweka mambo sawa wala hakuna lingine.
Sasa nimejua kwa nini imeamua kuja na "kadi hisa" za wanachama. Kwamba mwanachama atambulike kwa kiwango maalumu cha haki ya kuwa mwanachama. Kumbe ilianzia mbali.Kazi ya kufanya uchunguzi wa kina kwa vifo vya hao Watanzania, Mtoi na Wangwe ni ya Nani? Mamlaka zinapaswa kuombwa kufanya uchunguzi na CHADEMA kwa kuwa tu hao ni viongozi wao? Unataka kusema wameuwa na CHADEMA? Kwanini jeshi letu la polisi wanakaa kimya?!
Bado hujanywa maji! Ahahahahahahah!!Sasa naumizwaje na mtu kama Wewe! Mnajizalilisha wenyewe tu na ujinga wenu!
Ningetakiwa kuumia kama tuhuma zako zimegunduliwa ni kweli, mwenyekiti wa CHADEMA ni muuaji na Yupo pamoja na Sabaya kule!!
Lakini propaganda zenu ni utopolo wa kijinga tu, hata nilipokuwa chekechea singeweza kuwa na mawazo mfu kama hayo!
Wasukuma hawanaga siri, nilikuwa na bosi msukuma siku akikupa hela (nje ya mshahara) basi ofisi yote watajua, kuna siku aliniona naingiza kabinti hotel tuliyofikia somewhere, aisee tulivyorudi ofisini kila mtu alijua, alinipa bonge la msala kwa girlfriend wa pale ofisini.Tunataka kujua taarifa ya kifo cha Magufuli kina Tundu Lissu na huyu lema walikuwaga wanazipatia wapi kabla hatujatangaziwa? Na huyu lema aliwahi kutabiri kifo cha JPM tulitaka ahojiwe vizuri atakuwa anajua chanzo cha kifo chake.
Siko upande wako wa wajingaKwenye kamati za chama chao waliwahi kugusia kuomba kwa mamlaka kufanya uchunguzi wa kina wa ajali ya the late Mohamed Mtoi!? Vipi kuhusu kuondokewa na aliyekuwa makamu mwenyekiti...the late Chacha Wangwe!?
====
Ni katika kuweka mambo sawa wala hakuna lingine.