Godbless Lema amuomba Rais Samia kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Tundu Lissu

Exactly haiwezekani watu wapotee hivihivi , wauwawe ,wapigwe risasi bila serikali kuwajibika na kutoa maelezo ya kina , serikali iwajibike kabisa kufanya uchunguzi na kutoa majibu yanayostahili .
 
Wakikwambia unitag! Ahahahahaha!
Ushabiki wenu wa kitoto sana! Anaye takiwa kutoa taarifa ya kifo cha Wangwe au mtu yeyote hapa Tanzania, ni serikali iliyo madarakani!!
Kama dhana yenu, kwamba wapinzani wamemuua Chacha Wangwe au mtu mwingine yeyote, ni kweli basi tutakuwa tuna serikali ya hovyo sana! Kama mpaka matutusa, wasioweza hata kupangilia hoja zao hapa jukwaani, wanawajua wauaji wa ndugu zetu, afu serikali isijuwe au inyamaze tu!!!!!! Mnaidhalilisha sana serikali, ccm na nafsi zenu wenyewe!
 
Umeumiaeeh! Kunywa maji kidogo. Yanasaidia sana hasa kwenye ulichopo!!!
 
Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.
 
Doh! God bless is always blessed
Kwenye kamati za chama chao waliwahi kugusia kuomba kwa mamlaka kufanya uchunguzi wa kina wa ajali ya the late Mohamed Mtoi!? Vipi kuhusu kuondokewa na aliyekuwa makamu mwenyekiti...the late Chacha Wangwe!?

====
Ni katika kuweka mambo sawa wala hakuna lingine.
 
Umeumiaeeh! Kunywa maji kidogo. Yanasaidia sana hasa kwenye ulichopo!!!
Sasa naumizwaje na mtu kama Wewe! Mnajizalilisha wenyewe tu na ujinga wenu!
Ningetakiwa kuumia kama tuhuma zako zimegunduliwa ni kweli, mwenyekiti wa CHADEMA ni muuaji na Yupo pamoja na Sabaya kule!!
Lakini propaganda zenu ni utopolo wa kijinga tu, hata nilipokuwa chekechea singeweza kuwa na mawazo mfu kama hayo!
 
Kwenye kamati za chama chao waliwahi kugusia kuomba kwa mamlaka kufanya uchunguzi wa kina wa ajali ya the late Mohamed Mtoi!? Vipi kuhusu kuondokewa na aliyekuwa makamu mwenyekiti...the late Chacha Wangwe!?

====
Ni katika kuweka mambo sawa wala hakuna lingine.

Kazi ya kufanya uchunguzi wa kina kwa vifo vya hao Watanzania, Mtoi na Wangwe ni ya Nani? Mamlaka zinapaswa kuombwa kufanya uchunguzi na CHADEMA kwa kuwa tu hao ni viongozi wao? Unataka kusema wameuwa na CHADEMA? Kwanini jeshi letu la polisi wanakaa kimya?!
 
Sasa nimejua kwa nini imeamua kuja na "kadi hisa" za wanachama. Kwamba mwanachama atambulike kwa kiwango maalumu cha haki ya kuwa mwanachama. Kumbe ilianzia mbali.
 
Sasa naumizwaje na mtu kama Wewe! Mnajizalilisha wenyewe tu na ujinga wenu!
Ningetakiwa kuumia kama tuhuma zako zimegunduliwa ni kweli, mwenyekiti wa CHADEMA ni muuaji na Yupo pamoja na Sabaya kule!!
Lakini propaganda zenu ni utopolo wa kijinga tu, hata nilipokuwa chekechea singeweza kuwa na mawazo mfu kama hayo!
Bado hujanywa maji! Ahahahahahahah!!
 
Tunataka kujua taarifa ya kifo cha Magufuli kina Tundu Lissu na huyu lema walikuwaga wanazipatia wapi kabla hatujatangaziwa? Na huyu lema aliwahi kutabiri kifo cha JPM tulitaka ahojiwe vizuri atakuwa anajua chanzo cha kifo chake.
Wasukuma hawanaga siri, nilikuwa na bosi msukuma siku akikupa hela (nje ya mshahara) basi ofisi yote watajua, kuna siku aliniona naingiza kabinti hotel tuliyofikia somewhere, aisee tulivyorudi ofisini kila mtu alijua, alinipa bonge la msala kwa girlfriend wa pale ofisini.
 
Kwenye kamati za chama chao waliwahi kugusia kuomba kwa mamlaka kufanya uchunguzi wa kina wa ajali ya the late Mohamed Mtoi!? Vipi kuhusu kuondokewa na aliyekuwa makamu mwenyekiti...the late Chacha Wangwe!?

====
Ni katika kuweka mambo sawa wala hakuna lingine.
Siko upande wako wa wajinga
 
Back
Top Bottom