Godbless Lema amuonya Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai

Duh huyu huwa kama 'anaoteshwa' hivi, Spika usidharau hata kidogo
Anachofanya Spika Ndugai ni KIBRI CHA UZIMA na JEURI YA PESA.
Kama Job Ndugai hajajifunza lolote kupitia tukio la Hayat JPM basi asbiri matokeo huko mbeleni! Mungu katika Biblia anasema TAKENI AMANI NA WATU WOTE. Hilo ni Neno la Mungu
 
Kama Mungu anayemsema hana ubaguzi basi ataanza na Mwenyekiti Mbowe kwa dhuluma ya posho na mishahara ya wabunge wa CHADEMA lijua likali alishasema yote
Wabunge 19 wa CHADEMA wapo pale kwa kanuni na taratibu, ikiwa sio hivyo CHADEMA waende mahakamani. Lema alipata division ngapi kidato nne? Maana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…